Ww hujawai kuwaona haowakezawatu wanaowatamani vijana nakugegedwa ???au unaishi kolomije ???maana hukukwetu wapo wengi sana.Mwanamke amefungwa na minyororo ya kiutamaduni juu ya kuelezea hisia zake za kimapenzi kwa mwanamme ambaye angetamani japo a-date naye siku moja katika maisha yake.
Tofauti na mwanamme,aliyepewa wadhfa wa kichwa cha familia pale anapomwitaji binti au mwanamke aliyemvutia huweza kufanya mipango na hatimaye kutimiza haja ya moyo wake.
Wanawake mlioolewa ni kweli kwamba mnavyozunguka katika harakati zenu hamkumbani na changamoto ya kumpenda mwanaume ambapo mnatamani japo angekuja kukumbatia ili atulize haja ya moyo wako?
Wanawake kama walivyo wanaume wako na hisia, kwa hiyo basi kutamani kupo. Sema wanawake wana woga wa kumfuata mwanaume na kumweleza hisia zake na zaidi sana anaiwazia ndoa yake, kwa mwanamke anaejiheshimu hawezi fanya hivyo.... Unakufa na tai shingoni....
Na ukumbuke wapoo wanaowarubuni vijana hawa kwa fedha ili tu wawakubali, kwa hiyo hapo inategemea na tabia ya mtu...
Kwa mie sioni sababu ya kumsaliti mwenzio, maumivu ya usaliti huwa hayasahauliki daima
Umeonaee...Haha mnakufa kijerumani na tai shingoni au kama mchaga anayekufa njaa wakati Pesa anazo mfukoni
umenena vema...,Wanawake kama walivyo wanaume wako na hisia, kwa hiyo basi kutamani kupo. Sema wanawake wana woga wa kumfuata mwanaume na kumweleza hisia zake na zaidi sana anaiwazia ndoa yake, kwa mwanamke anaejiheshimu hawezi fanya hivyo.... Unakufa na tai shingoni....
Na ukumbuke wapoo wanaowarubuni vijana hawa kwa fedha ili tu wawakubali, kwa hiyo hapo inategemea na tabia ya mtu...
Kwa mie sioni sababu ya kumsaliti mwenzio, maumivu ya usaliti huwa hayasahauliki daima
best commentUnadhani watasema kiwa wanatoaga...kila atakaechangia atakwambia anajiheshimu hatoi nje
kheri wewe umeongea ukweliKutaman kupo pale pale, na muda mwingine tunajilipua km kawaida ila kwa usiri saaana.. Kila siku rungu moja mpk ufe inahusu!!
Sent using Jamii Forums mobile app