Wanawake mlioolewa hamwingiwi na tamaa ya mapenzi na vijana wasiooa?kama wafanyavyo waume zenu kwa mabinti

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] ngoja niondoke huku kwa wanangu
Ngoja niende kwa wababa
 
Tena utakuta mke wa mtu analiwa mpaka tigo wakati muwewe hamfanyii michezo hiyo

[HASHTAG]#Zombi[/HASHTAG], hii comment inaeleweka. Haihitaji chochote ili uielewe. Ni ngumu kumeza ila jisukumie hata kwa kijiko cha chai ili uimeze na uielewe.
Ila hii , comment ni ARVs ndiyo maana unaona ni ngumu kuelewa.
 
Wanaume weng ndoa ni Utimizaji wajibu katika Jamii inayokuzunguka ila Wanawake Ndoa ni Dream come true thing so tunatofautiana kwenye how we Value hyo kitu.
 
Umefungukakwa staili ya kurusha jiwe gizani
 
Basi kwa taarifa yako hakuna wanawake wajasiri na wachepukaji wazuri kama wake za watu. Kwa experience yangu wake za watu wamekuwa na guts za kunitongoza. Huwa wanaharibu mpaka wakati mwingine nashikwa na hofu mimi. Huku ninakoishi Kibada kuna matukio kadhaa yanasikitisha. Mke wa mtu anavuka pantoni anakuja mpaka nyumbani kwako kufata dushe. Uzuri wao hawana michezo ya kupiga vimondo. As long as unampa emotional support, vizawadi vidogo vidogo, akikwama ada ya mtoto unamsaidia bila kuombwa n.k. Tatizo lao inafika point wanaanza kuwa ving'ang'anizi na wivu wa kupindukia. Akikuona na girlfriend anafura. Lakini truth be told married women are the gutsiest in my experience.
 
Duuh
 
Mbona wanachepuka sana, labda huko mkoani kwenu ila Dar heya heya hiya hiya 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…