Wanawake mlioolewa na wale msiowategemea mliwezaje

Hapo kwenye kuomba Mungu ndio napopataka sijui kwanini nashindwa kuomba ni kama siwezi nikijaribu najikuta nacheka like seriously mimi huyo wa kuomba mume sijui what is happening to mimi
Basi hujawa tayari , ni kitu ambacho unakitaka for funny tu 🤣 ikiwa uhitaji wako kweli hadi kufunga utafunga na Novena zote utasali !!

Kwa sasa ndoa sio kipaumbele chako umekua tu motivated kwa sababu wanaokuja wanataka ndoa ! Kama haupo tayari tulia tu jitunze
 
Ooh sauwaa
Unakuta mwanamke yupo mzito sana kwenye mawasiliano kumbe amekuweka backup. Ukimpotezea na ukamsahau ukaendelea na mambo yako unashangaa baada ya mipango yake kufeli miezi 4 ndiyo anakutafuta. Hapo akili wala moyoni hayupo tena na wewe unamuweka backup.
Shida ya wanawake, yule mwenye mipango ya dhati ya kumuoa ndiyo hamtaki anamtaka yule ambaye hana mipango naye kwasababu tu amekidhi vigezo vyake ila jamaa hana mpango naye
Shida ya wanawake wanatumia hisia sana kwenye mapenzi kuliko akili ndiyo wanajikuta wapo kwenye mikono isiyo sahihi
 
Acha kujiuza
 
Bibi shkamoo
 
Karibu unaolewa na "marioo"!Zubazubaa ufurahishwe na kuanza kulea mimtu yenye magego yaliyokomaa.
 
Katika hao wa 5 ambao angalau wana sifa zangu ni wawili tu.. japo sijawaelewa kihivyo,,

Sasa mimi napata kigugumizi sijui ndio milango kufunguka au majaribu tu
Hakuna niliempa jibu la ndio au hapana.. ni kama nimewaweka njiapanda..
5 Suitors One Husband.
 
Bora huyo unaempenda na tayari ushamjua mpk kutiana kwamba anakunyoosha vzr!
pia kwa kuwa unampenda hata kama itatokea ana mapungufu ni rahisi kumvumilia coz yuko moyoni mwako!

Imagine mtu humpendi alafu kwenye ndoa unakuta anamapungufu! Hata km ni madogo utaona ni makubwa nayakukera mnoo, dakika unazeeka sura mpk na Moyo!

Kwanza hao wengine unao waita boy waokukimbilia kujitambulisha home badala ya kuomba tamuu kwanza,ni wanaume gani!
wachunguze vzr usikute hata hawadindi, wanatumia kujitambulisha km mwamvuli😂😂

Nimemshauri mto uzi!! Sitaki kimbelembele kwa ambaye si mtoa uzi 🙏🙏
 
Sema anaonekana mwenyewe bado hajui anataka nini na kuolewa bado anataka,.
Wanawake tuna kazi sana walahi
Ww hujamwelewa mtoa mada, mtoa mada anataka kuolewa, ila hao wanaume 5 wote wanaotaka kumuoa, hampendi mwanaume hata mmoja kati ya hao 5, mwanaume anaependwa na kadogo2 haeleweki na hapendeki Leejay49
 
Kawaida wanawake huwa hawaolewi na waliowategemea, kwa sababu ya nature, aliyetakiwa kupenda ni mwanaume na sio mwanamke
Siku hizi wanawake wanatafuta wanaume wa kuwaoa Ndio mana hakuna ndoa ni mavurugu tu. Mwanamke by nature anapaswa afuatwe kuposwa kupitia Kwa wazazi wake tena atwaliwe kutoka Katika hema ya baba yake! Siku hizi na wao wanatafuta Mume na vigezo wameweka ambavyo wao hata robo hawana! Hii ni Asili ambayo imekiukwa
 
Mwanamke kuwa na mahusiano na zaidi ya mwanaume mmoja huo ni UMALAYA uliokubuhu.
 
Wachache sana wanajua hekima hiyo, eti mwanamke anaweka vigezo vya nani amuoe, huwa wanatumia akili kweli, yaani ni sawa na wewe unaomba kazi, lakin kwenye cv umeweka vigezo, kwamba kazi natakiwa nifanye mjini tu, mshahara usioungue milion moja, halafu ukajiita mtafuta kazi hakuna HR atakusumbua kukuita hata kwenye usaili.

Anayeoa ni mwanaume, cha kushangaza eti anayeweka vigezo vya mtu wa kuolewa naye ni yule anayeolewa, ushasikia wapi ukapata mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…