Wanawake mlioolewa na wale msiowategemea mliwezaje

Una miaka 30 kasoro bado hujui unachotaka shaur yako.
 
We mwenyewe mbona hueleweki anyway ni maisha yako choose wisely
 
Ww hujamwelewa mtoa mada, mtoa mada anataka kuolewa, ila hao wanaume 5 wote wanaotaka kumuoa, hampendi mwanaume hata mmoja kati ya hao 5, mwanaume anaependwa na kadogo2 haeleweki na hapendeki Leejay49
Mwanamke hakuumbwa kumpenda mumewe anatakiwa kutii! Mwanaume Ndio anayetakiwa kupenda! This is battle against nature and less will win
 
Hakuna jambo gumu kama kujua yupi ni mtu sahihi na upi ni wakati sahihi Kwa mungu.
Fanya ivi madam ask your heart yupi ana feeling better nawew Kisha muangalie matendo yake bila kujali hisia zako muombe mungu Kisha fanya maamuz
 
Najaribu kuwaza body count inasoma ngapi, hapa unawaelezea wanaume sita
Wote wakitaka kuloweka wanaloweka tuu mpaka apatikane bwege wa kuja kuoa
 
NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA ILI UONE VIZURI WE NI MWANAMKE MAISHA YENU YANAONGOZWA NA HISIA HIVYO BASI OLEWA NA UNAYEMPENDA TOFAUTI NA HAPO HAUTAFURAHIA HIYO NDOA YAKO
 
Ww hujamwelewa mtoa mada, mtoa mada anataka kuolewa, ila hao wanaume 5 wote wanaotaka kumuoa, hampendi mwanaume hata mmoja kati ya hao 5, mwanaume anaependwa na kadogo2 haeleweki na hapendeki Leejay49
Hili nalo tatizo
 
Unaweza hisi wao ndio wanakuchanganya, ila uhalisia ni kwamba wamekukuta tayari umeshachanganyikiwa.

Sitoshangaa ukija kuoelewa na mtu mwingine tofauti kabisa, nje ya hao uliowaweka njia panda na huyo unayedate nae sasa.
 
Nafkiri ungeomba ushauri tukusaidie ktk vigezo gani unapaswa uvitazame kwa mwanaume ingekuwa bora zaidi.
 
Najaribu kuwaza body count inasoma ngapi, hapa unawaelezea wanaume sita
Wote wakitaka kuloweka wanaloweka tuu mpaka apatikane bwege wa kuja kuoa
Soma ukiwa Upo timamu mkuu.. kama umelewa usisome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…