Wanawake mlioolewa una ujasiri wa kukataa kuchepuka na ex wako?

Wanawake mlioolewa una ujasiri wa kukataa kuchepuka na ex wako?

kuna x huyo hata akinikuta nnatembelea mkongojo ntachepuka tu kwakweli
Yawezekana alikuacha kwasababu aliona wewe huna sifa yakua mke wake,akaenda kwa mwingine mwenye sifa yakua mke,siyo kila mwanamke niwakuoa,wengine niwakupitia tu ila unawaachia wengine,kama huyo X alivyomwachia mumeo,ila akikutaka anakuja kukulamba.
 
Yani nimeolewa alhamdulillah nikachepuke na mtu ambae hakuona thamani yangu akaniweka ndani kwa kipi?

Mimi ukishakua ex haijalishi tumeachana vipi kwa wema kwa uzur tayar nimeshajenga ukuta wewe huko mie huku

Sasa nna mume ndani nichepuke kisa nn?? Ni heri nimwambie ukweli ni mume wangu bana leo sjafrahia ni heri niwe wazi kwake ni halali yangu kuliko kwenda kujdhalilisha nje

Siwezi kuchepuka sio na ex tu na yeyote yule mbali na husband.
Wanawake wenye akili Kama yako ni wachache sana,wengi wao huwa hawajiulizi kwanini waliachwa,wakaolewa wenzao,matokeo yake wamekua mifano mibaya kwa watu ambao hawajaoa,hivyo kuwakatisha tamaa.
 
Yawezekana alikuacha kwasababu aliona wewe huna sifa yakua mke wake,akaenda kwa mwingine mwenye sifa yakua mke,siyo kila mwanamke niwakuoa,wengine niwakupitia tu ila unawaachia wengine,kama huyo X alivyomwachia mumeo,ila akikutaka anakuja kukulamba.
Haya mke keyboard
 
Yani nimeolewa alhamdulillah nikachepuke na mtu ambae hakuona thamani yangu akaniweka ndani kwa kipi?

Mimi ukishakua ex haijalishi tumeachana vipi kwa wema kwa uzur tayar nimeshajenga ukuta wewe huko mie huku

Sasa nna mume ndani nichepuke kisa nn?? Ni heri nimwambie ukweli ni mume wangu bana leo sjafrahia ni heri niwe wazi kwake ni halali yangu kuliko kwenda kujdhalilisha nje

Siwezi kuchepuka sio na ex tu na yeyote yule mbali na husband.
Jibu hili angelitoa mke wangu....lingenifariji sana
 
Mimi.bahat mbaya huwa sikutan na mtu level ya ex..huwa nakutana na level ya juu..so naonaga km nawangalizia kwenye balcony ya 5th floor vile ...haka ka ex kangu kamejenga kajumba ka vyumba 2 chalinze..naskia nyumba km shule ya msingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Mungu nisamehe...alafu namrudiaje ss mm km huyo[emoji23][emoji23][emoji23]...pyeee...!mwingine alipigwa na risasi bas kuutwa kuomba michango atibiwe..Mungu nisamehe
Wewe haujatoa mchango kumsaidia mwenzio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] au bado unakumbuka usharobaro wake enzi hizo!
 
Mmmmmh! inaonyesha umeshapitiwa na Mabehewa mengi sana si moja huyo atakayekuowa atakuwa kaowa Cha wote "Nothing new" huna jipya [emoji13][emoji13][emoji13]
Haki ya Mungu siowi mimi
Hahahahaa....na waoe tu kwa kweli.
 
Unafanyaje sasa na urojo unadondokea kwa watu wengine..... yani nyie mnatutesa kweli...
Pole sana wakati mwingine mapenzi yanatesa sana fanya wewe uone mpaka ndugu zake wanasimamisha masikio, pole sana kaeni chini myamalize Mungu hapendi kuachana
 
Hivi unaanza vipi mawasiliano ya karibu na ex wako jamani? Duu watu wana moyo !
 
Pole sana wakati mwingine mapenzi yanatesa sana fanya wewe uone mpaka ndugu zake wanasimamisha masikio, pole sana kaeni chini myamalize Mungu hapendi kuachana

Ni sawa dada mambo.magumu haya
 
Back
Top Bottom