Wanawake mlioolewa una ujasiri wa kukataa kuchepuka na ex wako?

Wanawake mlioolewa una ujasiri wa kukataa kuchepuka na ex wako?

Hapa sizungumzii ma ex ambao mliachana kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wenu kama mmoja kwenda nje kimasomo, kuhamishwa kikazi, kufungwa jela. n..k

Wanawake mlioolewa, je ex wako ambae hamkukosana bali mliachana kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wenu ukikutana nae leo una ujasiri wa kukataa kuchepuka nae?
Simkumbuki hata sura wala Sauti .Delete highlights and trash
 
Aiseeee sijaolewa Ila katika kitu sijawai na Wala sifikirii kufanya ni kuliwa na ex wng.

We are done....we are done.
Uzuri wanakijuaga kichwa changu hawathubutugi ata kuniongelesha useng* huo.na sijawai achana na mtu kiugonvi wote kiroho safi.wakinipigia ni kulaumu baada ya kuumizwa huko ama wamenikumbuka tu.
Mimi I’m like that ,ninasahau completely na sikimbuki hata kidogo .Its over im
Done have a nice day byeee.
 
Aiseeee sijaolewa Ila katika kitu sijawai na Wala sifikirii kufanya ni kuliwa na ex wng.

We are done....we are done.
Uzuri wanakijuaga kichwa changu hawathubutugi ata kuniongelesha useng* huo.na sijawai achana na mtu kiugonvi wote kiroho safi.wakinipigia ni kulaumu baada ya kuumizwa huko ama wamenikumbuka tu.
Kwan unafikiri unatangaziwa kuwa twende tukapashe kiporo? Yaani kirafiki tu mnasalimiana mwisho unajikuta umeliwa tayari sema tu hawajaamua bhana, namna pekee yakwepa nikukaa nao mbali tu hata mawasiliano hayatakiwi, yaani mkikutana muwe strangers tofauti na hapo utaliwa hase
 
Mmh basi makubwa!Salam then unaliwa.mi sijawai ata onana nao.na hata ikitokea nikaonana nao there won't be any kitu itaendelea.sijui km umenielewa niliposema ata wao hawawezi thubutu kuzungumzia huo upupu wa kupasha kiporo.coz they Kno mi vere welle
 
Wapo waliokuwa kama ww leo hii wamesahau waume zao wameenda kwa ma ex, ok bhana
 
Shukran sana nfugu yangu

Wajua hakuna kinachoshindikana chini ya jua kama tukiamua kukifanya kwa nia thabiti
wanawake wenye kuhifadhi tupu zao kwa ajili ya waume zao tu watapata ujira mkubwa yawumul hisabu so hongera kwa hilo madam s
 
Yani nimeolewa alhamdulillah nikachepuke na mtu ambae hakuona thamani yangu akaniweka ndani kwa kipi?
Mimi ukishakua ex haijalishi tumeachana vipi kwa wema kwa uzur tayar nimeshajenga ukuta wewe huko mie huku
Sasa nna mume ndani nichepuke kisa nn?? Ni heri nimwambie ukweli ni mume wangu bana leo sjafrahia ni heri niwe wazi kwake ni halali yangu kuliko kwenda kujdhalilisha nje
Siwezi kuchepuka sio na ex tu na yeyote yule mbali na husband.

Bakiza akiba ya maneno
 
Biashara ikiisha imeishaaaa hamna cha kupasha kiporo bab
 
Back
Top Bottom