Wanawake mlioolewa una ujasiri wa kukataa kuchepuka na ex wako?

Wanawake mlioolewa una ujasiri wa kukataa kuchepuka na ex wako?

Unafanyaje sasa na urojo unadondokea kwa watu wengine..... yani nyie mnatutesa kweli...
Wanawake wabaya sie smtime jaman.....ila si wote.pole sana kaka ang

Ina mna familia teyari kwann usimsamehe mwenzio,mkakaa chini mkayajenga.
 
Moyo wake ndio unaojua ukweli, hapo amejibu tu kufurahisha jamii! Swali hili huwa halijibiwi ukweli na wanawake hata siku moja!
Hahaha!unazani hao wanne ni wachache ama nirahisi kuthubutu kuropoka ukweli.
 
Kuna demu ni singo maza ninakula mzigo,anataka nimuoe,kapangishiwa na jamaa aliempa mimba ila jamaa ana mke na watoto na ameshamwambia huyo demu kuwa hawez kumuoa ila huwa anamkula Mara moja moja pale anapomkumbuka(nilikuja kugundua hili npo na demu kama miezi 2 aliniambia mwenyewe maana alkuwa anakuwa na vsafari vya ghafula kumbe alkuwa anapeleka papuchi) jamaa alishamwambia atafute kijana msitaarabu amuoe na jamaa kaahidi kumfanyia harusi na kutoa pesa ya mtaji ya kuanza maisha kama mil.3,lakini navyofikiria hili jamaa litakuwa linaendelea kumkula likihitaj hata akiwa kwenye ndoa
 
Aiseeee sijaolewa Ila katika kitu sijawai na Wala sifikirii kufanya ni kuliwa na ex wng.

We are done....we are done.
Uzuri wanakijuaga kichwa changu hawathubutugi ata kuniongelesha useng* huo.na sijawai achana na mtu kiugonvi wote kiroho safi.wakinipigia ni kulaumu baada ya kuumizwa huko ama wamenikumbuka tu.
Kwahiyo kwasasa upo single? Naweza kuja pm tukaongea wawili matatu
 
Back
Top Bottom