Wanawake mlioolewa una ujasiri wa kukataa kuchepuka na ex wako?

kuna x huyo hata akinikuta nnatembelea mkongojo ntachepuka tu kwakweli
Yawezekana alikuacha kwasababu aliona wewe huna sifa yakua mke wake,akaenda kwa mwingine mwenye sifa yakua mke,siyo kila mwanamke niwakuoa,wengine niwakupitia tu ila unawaachia wengine,kama huyo X alivyomwachia mumeo,ila akikutaka anakuja kukulamba.
 
Wanawake wenye akili Kama yako ni wachache sana,wengi wao huwa hawajiulizi kwanini waliachwa,wakaolewa wenzao,matokeo yake wamekua mifano mibaya kwa watu ambao hawajaoa,hivyo kuwakatisha tamaa.
 
Yawezekana alikuacha kwasababu aliona wewe huna sifa yakua mke wake,akaenda kwa mwingine mwenye sifa yakua mke,siyo kila mwanamke niwakuoa,wengine niwakupitia tu ila unawaachia wengine,kama huyo X alivyomwachia mumeo,ila akikutaka anakuja kukulamba.
Haya mke keyboard
 
Jibu hili angelitoa mke wangu....lingenifariji sana
 
Wewe haujatoa mchango kumsaidia mwenzio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] au bado unakumbuka usharobaro wake enzi hizo!
 
Mmmmmh! inaonyesha umeshapitiwa na Mabehewa mengi sana si moja huyo atakayekuowa atakuwa kaowa Cha wote "Nothing new" huna jipya [emoji13][emoji13][emoji13]
Haki ya Mungu siowi mimi
Hahahahaa....na waoe tu kwa kweli.
 
Unafanyaje sasa na urojo unadondokea kwa watu wengine..... yani nyie mnatutesa kweli...
Pole sana wakati mwingine mapenzi yanatesa sana fanya wewe uone mpaka ndugu zake wanasimamisha masikio, pole sana kaeni chini myamalize Mungu hapendi kuachana
 
Hivi unaanza vipi mawasiliano ya karibu na ex wako jamani? Duu watu wana moyo !
 
Pole sana wakati mwingine mapenzi yanatesa sana fanya wewe uone mpaka ndugu zake wanasimamisha masikio, pole sana kaeni chini myamalize Mungu hapendi kuachana

Ni sawa dada mambo.magumu haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…