Wanawake mlioolewa una ujasiri wa kukataa kuchepuka na ex wako?

Nyie hamzaminik unaweza ukaongea hv hap tukuone mwema kwa vile hatukujui
 
Hongera sana. Wewe ni miongoni mwa wanawake wanaojiheshimu na kujitambua. Mumeo kapata mke haswaa
 
Ninyi ndio mnaliwaga kirahisi hadi hasira.
 
Utakuwaa fundi eeeh
 
Sio kila unachosikia au kuandikwa ni kweli akili ya kuambiwa tu fanyia kazi utapata matokeo
Siyo wote wazinzi kama unavyofikiri. Kuna watu wanajitambua na wanajua thamani zao. Kama wewe unachepuka na ex wako haimanishi ni wote wanachepuka. Kupasha kiporo na ex wako inamaanisha kuwa "Hauna lolote kwenye dunia ya mapenzi yaani wewe ni takataka"
 
Wanawake wapuuzi ndo uwa wanalala na x zao..mi siwez na sipendag mawasiliano yaendelee kati yangu na x so tukiachana ni kama hatujuani sitak ata niilone status zako.
 
Ninyi ndio mnaliwaga kirahisi hadi hasira.
Hahahahahahahaaaaaaa jipe moyo,sijawai kucross na ex eye to eye,Kuna watu tuna pride n ego za kingese mpk Kuna saa ss wnyw tunazichukia,Mana znatunyima fursa.
 

Hyo ndio maneno yenu, lakini kiuhalisia ..........
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…