Chova
JF-Expert Member
- Oct 21, 2018
- 267
- 364
Nyie hamzaminik unaweza ukaongea hv hap tukuone mwema kwa vile hatukujuiYani nimeolewa alhamdulillah nikachepuke na mtu ambae hakuona thamani yangu akaniweka ndani kwa kipi?
Mimi ukishakua ex haijalishi tumeachana vipi kwa wema kwa uzur tayar nimeshajenga ukuta wewe huko mie huku
Sasa nna mume ndani nichepuke kisa nn?? Ni heri nimwambie ukweli ni mume wangu bana leo sjafrahia ni heri niwe wazi kwake ni halali yangu kuliko kwenda kujdhalilisha nje
Siwezi kuchepuka sio na ex tu na yeyote yule mbali na husband.