Wanawake mmezidi mawigi yananuka kweli!

Wanawake mmezidi mawigi yananuka kweli!

Kwamba Depal na Smart911 unamaanisha mtu mmoja??? Labda km unamaanisha mwili mmoja

Ngoja nimwite mahondaw aje kukusuta maana hili ni tusi kubwa sn umetukana
Iko hivii mahondaw alijoin akaona afungue id nyingine ya smart awe anacoment na kujijibu mwenyewe! Baada yakuona tumeanza kumshtukia akaleta id mpya ya depal!
 
Ile kweli ni taabu. Nakumbuka wakati niko kijana, niliwahi kusuka nywele. Baada ya siku 4 zilianza kuwasha sana ikabidi nizifumuwe. Na sikurudia tena. Sasa haya mawigi na sehemu zetu zenye joto hivi, itakuwa kazi kweli kweli humo ndani. Natural is the best. Ukienda Ulaya huko labda uvae hayo ili ufanane nao. Sasa sisi hapa sote tunafahamiana kipilipili chetu, sijui unamzuga nani?
halafu wana kale katabia anapikicha na kidole halafu ana nusaa ku test mzigo, au wale fungus sijui chawa/bacteria wakimuwasha unaona akipiga bichwa, paaa.. paaa,then anakausha kama sio yeye, yale ni mateso..
 
Back
Top Bottom