Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

Ila watu wenye mentality kama za mleta mada ukikaza unajipigia marinda vizuri tu.

Naona amepotea ghafla hachangii uzi wake. Huenda kuna minjemba imemfata PM kumuomba trako baada ya kujitangaza na sasa yupo bize anapambana kubargain nayo PM. Sio kwa ukimya huu wa ghafla πŸ€”!
 
Watu mmelelewa vibaya. This is bullying, body shaming to be precise.

Urefu na ufupi haubadilishiki, ukimkosoa mtu kwa kitu ambacho hakibadilishiki unataka afanyaje?

Mara nyingi mnakuwa hamna furaha, mnataka kuhamishia huzuni zenu kwa wenzenu.

Next time do better.
 
Umemaliza
 
Watu wafupi walemavu wa height, ndio mkae mkijua kuwacheka vilema ni dhambi
 
Kuna mods flan n mshikaji wangu, amenitonya kuwa mtoa mada mpenda wanaume warefu alitaka hii mada ifutwe ila mods wakamkazia hakuna kufuta mpaka apate mume wa kumkaza akojoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…