Wanawake mna moyo sana, mnawezaje?

Wanaume nao wana mtihani kuishi na wanawake. Hujakutana na mwanamke mwenye mdomo wewe. Utasikia jirani zetu wamenunua phoenix mpya, sisi hatuna redio kaseti, wenzako wanaenda kukopa nyama kwa Abdalla amechinja dume lake. Yaani vijembe vya mke vinakuzeesha labda ujifanye kauzu.
 
Aisee..😂🙌🙌🙌
 
Mapenzi upofu walah.
Kuna mmja akinywa kichupa kimoja cha bia anaporomosha mitusi hiyo, Kaoa mdada mrefu mzuri wa kisukuma eeh anapeleka hadi limchangudoa ndani ety mwanamke analia akimaliza anakaa hapo hapo.
Akiwa na pesa ananunua tv inch 60 akimaliza anaipiga buti TV yote nyang'anyang'a.

Alf huyo mwanamke hata pesa ya kusuka apewi.
Mim mapenzi hayawezi nipofua kias hiko walahi tutakung'utana nikikushindwa nakuandalia kombora siku una pesa unazima week nzima siku umezinduka unajikuta pesa hakuna nmebeba hadi sabuni ya kuoshea vyombo nimekuvua nguo zote uko uchi *****😂😂
 
Acha tu wanawake ni viumbe wavumilivu sana lkn akishachoka akaondoka.. hawezi tena kurudi nyuma
 
Hii stori ni kule Ghana Mbeya?
 
Mbona hata sisi hua tunaishi na wanawake ambao ni Mungu ana tunusuru
 
Hawajawahi kueleweka
 
Aisee
 
Kweli, huwezi jua kama kitu fulani ni muhimu mapaka ukipoteze ndio utajua[emoji24]
 
Sasa mimi navuta ndio maana nakueleza,sigara ni starehe yangu mimi,lazima nihakikishe haiwezi kumkera mwenzi wangu...hakuna sigara itakayonuka zaidi ya 30mint baada ya kuvutwa...
Sigara!!? Nilikua mvutaji kwa kipindi kirefu, Mungu aliniokoa na janga hilo! Hata usukutue na nini au ule nini harufu ya sigara hua haikati na bahati mbaya unavyo kua clonic hata jasho linakua naharufu ya sigara mda wote, nguo zote hata ujipulizie nini na usiombe uwe kwenye baridi au mvua ndio hua haikati kabisaa, bado kwenye kudendeka kiukweli ni aibu kwanza huyo mwenza hawezi ku_enjoy romance kabisa ulimi lazima uwe mkali by experience nimesha kutana na mwanamke mvutaji hivyo naelewa kero zake mbali na mimi mwenyewe kua mvutaji. Ila usiogope, pale unapo amua kuiacha kero zote hua zina toweka ndani ya week na nusu hata wewe mwenyewe utajisikia tofauti sana hata mdomoni mwako mwenyewe.
 
Naona Leo umeamua Kuwamwagia

Nyuzi wanajeiefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…