data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
ThanksSawa mkuu,soon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ThanksSawa mkuu,soon
Poleni,me siwezi mtesa mke/ mtu wangu kwa hayo mambo ya hovyo.Usafi ni uungwana na mvuto kwanguShida tupu yaan
Aisee..😂🙌🙌🙌Kuna mbaba mmoja mtaani kwetu alikuwa analewa mpaka anajikojolea na akawa analala mitarani,mkewe watu wanaenda kumpa taarifa alikuwa anaenda kumchukua anamkokota mpaka nyumbani na wakati huo wa kumkokota huyo mbaba unakuta anamtukana mkewe na kumuita mbwa wewe
Bahati mbaya yule mama alifariki,baada ya msiba yule baba aliacha kunywa pombe kabisa,alikuwa akisema kwasasa siwez kunywa maana malaika wangu hayupo,alikuwa anasikitika sana mkewe kufariki na kumuacha
Mapenzi upofu walah.Unakutana na mtu ww tu ndani ya nusu saa ushamchoka. Ni ana gubu, mbishi + mgumu kuelewa. Lakini anaishi na mke na maisha yanaenda.
Ile harufu ya sigara kwa kweli haivumiliki lakini mwanamke analala nae na kuamka nae.
Mwingine muda wote kalewa chakali wa kubeba na tolori + kujikojolea. (mlevi mbwa) Lakini ana mke na watoto.
Kuna wale anajua mpaka bei ya kitunguu na nyanya, Yaani kila senti anataka kujua imetumikaje.🙌
Mwingine hasira hazimuishi kidogo tu kapaniki.
Acha tu wanawake ni viumbe wavumilivu sana lkn akishachoka akaondoka.. hawezi tena kurudi nyumaUnakutana na mtu ww tu ndani ya nusu saa ushamchoka. Ni ana gubu, mbishi + mgumu kuelewa. Lakini anaishi na mke na maisha yanaenda.
Ile harufu ya sigara kwa kweli haivumiliki lakini mwanamke analala nae na kuamka nae.
Mwingine muda wote kalewa chakali wa kubeba na tolori + kujikojolea. (mlevi mbwa) Lakini ana mke na watoto.
Kuna wale anajua mpaka bei ya kitunguu na nyanya, Yaani kila senti anataka kujua imetumikaje.🙌
Mwingine hasira hazimuishi kidogo tu kapaniki.
Hii stori ni kule Ghana Mbeya?Mapenzi upofu walah.
Kuna mmja akinywa kichupa kimoja cha bia anaporomosha mitusi hiyo, Kaoa mdada mrefu mzuri wa kisukuma eeh anapeleka hadi limchangudoa ndani ety mwanamke analia akimaliza anakaa hapo hapo.
Akiwa na pesa ananunua tv inch 60 akimaliza anaipiga buti TV yote nyang'anyang'a.
Alf huyo mwanamke hata pesa ya kusuka apewi.
Mim mapenzi hayawezi nipofua kias hiko walahi tutakung'utana nikikushindwa nakuandalia kombora siku una pesa unazima week nzima siku umezinduka unajikuta pesa hakuna nmebeba hadi sabuni ya kuoshea vyombo nimekuvua nguo zote uko uchi *****[emoji23][emoji23]
Sio huko MkuuHii stori ni kule Ghana Mbeya?
Mbona hata sisi hua tunaishi na wanawake ambao ni Mungu ana tunusuruUnakutana na mtu ww tu ndani ya nusu saa ushamchoka. Ni ana gubu, mbishi + mgumu kuelewa. Lakini anaishi na mke na maisha yanaenda.
Ile harufu ya sigara kwa kweli haivumiliki lakini mwanamke analala nae na kuamka nae.
Mwingine muda wote kalewa chakali wa kubeba na tolori + kujikojolea. (mlevi mbwa) Lakini ana mke na watoto.
Kuna wale anajua mpaka bei ya kitunguu na nyanya, Yaani kila senti anataka kujua imetumikaje.[emoji119]
Mwingine hasira hazimuishi kidogo tu kapaniki.
Wavuta sigara wote ni matahira, usha ambiwa ni hatari ila bado tuWavuta sigara tunaojielewa huwa tunapiga mswaki kabla ya kupanda kitandani
[emoji3518][emoji3519][emoji709]Wavuta sigara tunaojielewa huwa tunapiga mswaki kabla ya kupanda kitandani
Hawajawahi kuelewekaWAKOLOSAI 3:18-19.
[18]Ninyi wake, watiini waume zenu, kama ipendezavyo katika Bwana.
[19]Ninyi waume, wapendeni wake zenu msiwe na uchungu nao.
Kwa maagizo hayo hapo juu [emoji115][emoji115] toka kwa Mungu utagundua aliyeagizwa kutekeleza kitu flani kwa Me au Ke ndicho ambacho hakuumbwa nacho ndiyomaana anasisitizwa na Mungu awe anakifanya kwa mwenziye.
Kiuhalisia huweziwasha tochi mchana sababu mwanga wake hautakuwa na tija yoyote ile tofauti na usiku tu.
AiseeKuna mbaba mmoja mtaani kwetu alikuwa analewa mpaka anajikojolea na akawa analala mitarani,mkewe watu wanaenda kumpa taarifa alikuwa anaenda kumchukua anamkokota mpaka nyumbani na wakati huo wa kumkokota huyo mbaba unakuta anamtukana mkewe na kumuita mbwa wewe
Bahati mbaya yule mama alifariki,baada ya msiba yule baba aliacha kunywa pombe kabisa,alikuwa akisema kwasasa siwez kunywa maana malaika wangu hayupo,alikuwa anasikitika sana mkewe kufariki na kumuacha
Kweli, huwezi jua kama kitu fulani ni muhimu mapaka ukipoteze ndio utajua[emoji24]Kuna mbaba mmoja mtaani kwetu alikuwa analewa mpaka anajikojolea na akawa analala mitarani,mkewe watu wanaenda kumpa taarifa alikuwa anaenda kumchukua anamkokota mpaka nyumbani na wakati huo wa kumkokota huyo mbaba unakuta anamtukana mkewe na kumuita mbwa wewe
Bahati mbaya yule mama alifariki,baada ya msiba yule baba aliacha kunywa pombe kabisa,alikuwa akisema kwasasa siwez kunywa maana malaika wangu hayupo,alikuwa anasikitika sana mkewe kufariki na kumuacha
Sigara!!? Nilikua mvutaji kwa kipindi kirefu, Mungu aliniokoa na janga hilo! Hata usukutue na nini au ule nini harufu ya sigara hua haikati na bahati mbaya unavyo kua clonic hata jasho linakua naharufu ya sigara mda wote, nguo zote hata ujipulizie nini na usiombe uwe kwenye baridi au mvua ndio hua haikati kabisaa, bado kwenye kudendeka kiukweli ni aibu kwanza huyo mwenza hawezi ku_enjoy romance kabisa ulimi lazima uwe mkali by experience nimesha kutana na mwanamke mvutaji hivyo naelewa kero zake mbali na mimi mwenyewe kua mvutaji. Ila usiogope, pale unapo amua kuiacha kero zote hua zina toweka ndani ya week na nusu hata wewe mwenyewe utajisikia tofauti sana hata mdomoni mwako mwenyewe.Sasa mimi navuta ndio maana nakueleza,sigara ni starehe yangu mimi,lazima nihakikishe haiwezi kumkera mwenzi wangu...hakuna sigara itakayonuka zaidi ya 30mint baada ya kuvutwa...
Naona Leo umeamua KuwamwagiaUnakutana na mtu ww tu ndani ya nusu saa ushamchoka. Ni ana gubu, mbishi + mgumu kuelewa. Lakini anaishi na mke na maisha yanaenda.