Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Mm nina miaka 35 namtaka binti wa miaka 20, najiuliza nkimtongoza huyu binti si ataniona wa ajabu sana? Maana nimemzidi miaka 15 nikikutana naye njiani ananipa Shikamoo.
Hata nkimtongoza akanikubalia, Hatonipendea pesa kweli, maana kiuhalisia mimi ni mkubwa sana kwake.
Wanaume wenye uzoefu na hili pia mnakaribishwa kuchangia hapa.
Hata nkimtongoza akanikubalia, Hatonipendea pesa kweli, maana kiuhalisia mimi ni mkubwa sana kwake.
Wanaume wenye uzoefu na hili pia mnakaribishwa kuchangia hapa.