Sawa mnabebishwa, ila nachouliza mnavutiwaga na muonekano wa hao wanaume? Isije ikawa unaenda kwa huyo mwanaume alokuzidi miaka 15 kisa pesa..
Mimi ninachokwepa ni kupendewa hela na huyo binti, ukute Labda muonekano wangu (physical appearance) haumvutii kwasababu ya umri wangu kuwa mkubwa..ukute huyo binti kichwani anawaza huyu babu alonizidi miaka 15 ntampeleka wapi, Siwezi olewa nae, naona aibu kutembea nae barabarani, ngoja anihudumie kipesa, ilhali moyo wangu uko kwa kijana wa rika langu k.v miaka 24 au 22
Joannah Dinazarde