Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Siwaliwazi ila ni ukweli,, Kuna hatua ikifika mtu hutaki drama za kitoto, unahitaji utu na utulivu
Tatizo wengi wanahisi tumefata pesa tu kwa wanaume wanaotuzidi parefu kumbe sivyo,,, na utakuta mtu anasema hao hata kupiga mzigo hawawezi ni visukari na presha, sio wote umri huo ni wagonjwa tena mjue tu hao ni wazoefu wanatujua wanawake na akili zetu, wameshakutana na chiu nyingi tu,, na kama life style yake ni nzuri na hajazidi 55 amini nakwambia huo mziki wake kitandani lazima uombe poo, wanajua na wanajua tena na pumzi wanayo kuzidi hata barobaro wa miaka 30,
Wanawake tuna tabia ya kupenda wanaume wenye experience, kinyume kabisa na wanaume