Wanawake mnachukuliaje kutoka na wanaume waliowazidi umri kwa miaka 15, ila siyo wababu?

Wanawake mnachukuliaje kutoka na wanaume waliowazidi umri kwa miaka 15, ila siyo wababu?

Mm nina miaka 35 namtaka binti wa miaka 20, najiuliza nkimtongoza huyu binti si ataniona wa ajabu sana? Maana nimemzidi miaka 15 nikikutana naye njiani ananipa Shikamoo.

Hata nkimtongoza akanikubalia, Hatonipendea pesa kweli, maana kiuhalisia mimi ni mkubwa sana kwake.

Wanaume wenye uzoefu na hili pia mnakaribishwa kuchangia hapa.
Tofauti ya miaka 15 siyo mbaya..

Ukimzidi sana uwe na mpunga wa kuziba hilo gap, kama Trump:-
Donald Trump 76
Melanie Trump 52
76 - 52 = 24
 
Ata mi nimepishana na wife 5 year ni marafiki tuloshibana sijaona shida na kufikia apa tulipo tumetafuta wote na amani ipo
Kuna mtu kasema hapo juu kuwa kuna siku utamuona kama mama yako 😀

Kwenye haya maisha kikubwa upate mtu mwenye akili tulivu na mwenye utu na hasa muwe marafiki, mengine mimi siyawezi.
 
Msichokielewa ni kuwa wanawake wengi wa humu ni 30+ years of age. Sio rahisi binti wa miaka 21 akaanza kuwaza kutoka na mtu wa miaka 45 wakati yuko katika pool ya vijana wengi wa 25-30yrs. Labda demu mshamba asiyejitambua.

Kwa mtoto wa kike peak years ni 18-24 hapo ambapo wengi anaovutiwa nao ni age mates na gap linaongezeka kidogo anapo approach 26-28yrs.

Mwanamke akishafika lets say 30-35 yrs kwake si rahisi ku date na kijana age mate wake sababu aakuwa nje ya soko la vijana tayari.

Option iliobaki inakuwa ni kudate na mtu mwenye 10-15yrs older na wengi huona fahari sababu wanaume wengi wa huo umri wanakuwa tayari wame stabilize kimaisha, wengine wana wake na familia zao na ambao hawajaoa wanakuwa wana financial muscles na incase ya ndoa ni rahisi kuoa hawa wanawake sababu wanakuwa na uwezo ishu ni kushawishiwa tu.

KE wengi wanachoinjoy humo ni lile penzi linaloambatana na spoiling ama uchakavu wa mapene, anacholilia kinapatikana kwa wakati. Ila cha ajabu wauza kahawa wengi wapo wenye age hizo ila huwezi sikia wakiongelewa na hawa mademu,,, tafakari!!![emoji23]

POINT [emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1319][emoji1319][emoji1319]
 
Kuna mtu kasema hapo juu kuwa kuna siku utamuona kama mama yako [emoji3]

Kwenye haya maisha kikubwa upate mtu mwenye akili tulivu na mwenye utu na hasa muwe marafiki, mengine mimi siyawezi.

[emoji16], hakuna ukweli apo, mtu mkizoeana anakua part of your life asinitishe.
 
Wanawake wengi wanapenda hiyo age gape. Wanaamini mwanaume anakua matured tayari.

Binafsi mimi kwangu hapana, ntaboreka, Mi napenda gape 0-5 tukue pamoja, tuzeeke pamoja na tutafute pamoja.
unachemka, 0-5 gap we ndo utazeeka utamuacha yeye, huyo hamzeeki pamoja sio rika lako huyo, rika lako kama mnataka mzeeke pamoja ni 10-15 gap
 
Mwanamke akiwa chini ya 25 gap lisizidi 10.. ila above 25 gap linaweza kuzidi 10
Ujue hapa tunaongelea tofauti ya umri ktk mahusiano ya me na ke,, anaweza kuwa na 33 kwa 18, automatically huyo mwanaume atamtreat hivyo hivyo km wenyw tofauti ya 45 kwa 30,, uzuri nyie huwa mnajiset hivyo wanawake mnaowazidi sana mnavyowatreat Ni tofauti na wa age yenu,,
Kuhusu drama wengi akishajua anadate na binti anaemzidi parefu huwa wana act km walezi Sasa hao wenye drama za kijinga ni wachche mnoo
 
Mnaogopa uzee kuliko kila kitu kwanini? Mimi furaha yangu ni kuwa na mume kijana mwenzangu, Mengine hayo ni ya kwenu mi hayanihusu.
wewe ndo ukimuangalia yeye utakua na kijana, ila yeye yeye akikuangalia yeye atakua na mzee, so kauli yako itaelemea upande mmoja tu
 
Back
Top Bottom