Wanawake mnachukuliaje kutoka na wanaume waliowazidi umri kwa miaka 15, ila siyo wababu?

Wanawake mnachukuliaje kutoka na wanaume waliowazidi umri kwa miaka 15, ila siyo wababu?

Ni kweli mimi nilikuwa na demu single mother kuja kujua baba mtoto wake alimzalisha ni umri sawa na wazazi wangu yani baba mtoto wake ana miaka 64 sawa na baba yangu mpaka leo najiuliza inakuwaje msichana unazalishwa na mume wamtu tena mzee wa miaka 64, sijui kwanini wanawake wa mikoani hawaoni shida kuzaa na wazee.
Huyo alijua mzee atamjengea nyumba mzee akishamzalia,kifupi ali bet😃
 
Ni kweli mimi nilikuwa na demu single mother kuja kujua baba mtoto wake alimzalisha ni umri sawa na wazazi wangu yani baba mtoto wake ana miaka 64 sawa na baba yangu mpaka leo najiuliza inakuwaje msichana unazalishwa na mume wamtu tena mzee wa miaka 64, sijui kwanini wanawake wa mikoani hawaoni shida kuzaa na wazee.
Wa mikoani🤨
 
Sawa mnabebishwa, ila nachouliza mnavutiwaga na muonekano wa hao wanaume? Isije ikawa unaenda kwa huyo mwanaume alokuzidi miaka 15 kisa pesa..

Mimi ninachokwepa ni kupendewa hela na huyo binti, ukute Labda muonekano wangu (physical appearance) haumvutii kwasababu ya umri wangu kuwa mkubwa..ukute huyo binti kichwani anawaza huyu babu alonizidi miaka 15 ntampeleka wapi, Siwezi olewa nae, naona aibu kutembea nae barabarani, ngoja anihudumie kipesa, ilhali moyo wangu uko kwa kijana wa rika langu k.v miaka 24 au 22 Joannah Dinazarde
Sasa we una 35 mbona mbichi kabisa wanaume wenye 40 kuenndelea wapo wenye miili ya mazoezi hawana mavitambi,wazuri ,akili zao zimetulia,kitandani watamu sana,wanadekeza ,
Nishawah date na vijana aisee sijawah enjoy kabisa na siwez rudia makosa
Wala sio pesa tunawapenda tu sana japo unakuta wapo vizuri kifedha pia
 
Nani alikwambia ile kitu pale inaangalia age distance who told you that? Tena ukiwa na umri mkubwa ndio inafit vizuri yaan inabana au umezoea kucheza na majaba pa pa pa pwa

Pardon my language

Nitarudi..
 
Wangu ananizidi 15,, ni raha aje.. nampenda kuliko kupenda kwenyewe kwa shida na raha, sio wanawake wote tunavutiwa na mionekano ya wanaume haswa wanawake matured,, tunaangalia mwanaume anaeweza kuyakabili majukumu yake ya kiume hayo ya muonekano ni wanawake wachache wanaoyazingatia, na wenye sura personal labda,,

Mi ladha yangu ni wanaume wakubwa kiumri kianzia gap la 12 -18 hapo najisikia raha sana na sura yake isiwe nzuri awe mbaya yani mbaya ndo napata burudani hao ndo wanakuwaga wanaume jamani,, wanathamini mapenzi, wanajua kupiga mashine, wanapambana na wanajiweza kimaisha,,

Kwa umri wa huyo binti anaweza kukusumbua lakini nikutoe wasiwasi tupo tunawapenda tunawaelewa na Wala hatuoni hata kuwaza hizo aibu za kuongozana nae mara sijui mzee,, hakuna mwanaume mzee wewe

Hadi nimejisikia raha na amani[emoji3590] vijana kimasharukhani kunakipindi walitutesa banna[emoji16]
 
Mm nina miaka 35 namtaka binti wa miaka 20, najiuliza nkimtongoza huyu binti si ataniona wa ajabu sana? Maana nimemzidi miaka 15 nikikutana naye njiani ananipa Shikamoo.

Hata nkimtongoza akanikubalia, Hatonipendea pesa kweli, maana kiuhalisia mimi ni mkubwa sana kwake.

Wanaume wenye uzoefu na hili pia mnakaribishwa kuchangia hapa.
Embu kula mbususa acha zako Sasa unatak kumuoa nani

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nikikumbuka juzi kati hapa alipita binti kama miaka 18 nkampa hi nkamwambia njoo uniambie jina lok, ghafla kakajibu, "siji! We mkubwa hivo?" Af kakachora. Roho iliuma kwakweli.. subiri nfike 40 nijarib tena
[emoji23] pole yako
 
Sasa we una 35 mbona mbichi kabisa wanaume wenye 40 kuenndelea wapo wenye miili ya mazoezi hawana mavitambi,wazuri ,akili zao zimetulia,kitandani watamu sana,wanadekeza ,
Nishawah date na vijana aisee sijawah enjoy kabisa na siwez rudia makosa
Wala sio pesa tunawapenda tu sana japo unakuta wapo vizuri kifedha pia
kama umevuka 30 vijana hutowaweza, kamwe huwezi kucompete na mademu wa 19-24.
 
Nikikumbuka juzi kati hapa alipita binti kama miaka 18 nkampa hi nkamwambia njoo uniambie jina lok, ghafla kakajibu, "siji! We mkubwa hivo?" Af kakachora. Roho iliuma kwakweli.. subiri nfike 40 nijarib tena
😂😂😂😂😂😂 Acha kutongoza vitoto vya primary
 
Back
Top Bottom