Wanawake mnachukuliaje kutoka na wanaume waliowazidi umri kwa miaka 15, ila siyo wababu?

Kwanza tambua mwanaume hazeeki jaribu kuwa na watoto mapacha wa kike na wakiume halafu waangalie utajua nani atawahi kukua? Binti wa miaka 18 huwezi mlinganisha na kijana wa kiume wa 18 kiumri wako sawa ila kwa mengine wameachana mbali.

Haina shida wewe oa tu.
 
Ewaaa
 
Sisi wengine mwili mdogo mwembamba kila mwaka tuna miaka 25 ni wanawake wanaamini [emoji28]yaani kila mwaka mimi nina miaka 25 sijawahi kuvuka hapo [emoji28]nachukua mabinti kuanzia miaka 18 mwisho 21 sitongozi kabisa wastaaafu wenzangu
 
Itakua kweli maana ninamiliki pisi ina miaka 29 na mimi nina 24 haiwezi pita siku bila kutaka ndoa pumbafu sana yule binti haende kwa wazeee wa miaka 40
 
Kudate na mwanaume uliyemzidi umri hakuna tofauti na kuchunguliwa na mtoto
Mbona mimi wangu kanizidi miaka mitano? kwahiyo namchungulia yeye now ana 29
 
Angalia jayz na Beyonce wameachana Gap hipi?

Shida wanaume wenye 30+ hapa Tz wengi kichwani Kama watoto hawana future hawajitambui uzinzi wa kufa Mtu hata hapa JF ndo wanaongoza kupost ujinga kwa kiwango kikubwa johnthebaptist ndo dizaini ya hawa


So mm naona vijana around 20+ wako focus Sana katk future ukilinganisha na wazee.
 
Itakua kweli maana ninamiliki pisi ina miaka 29 na mimi nina 24 haiwezi pita siku bila kutaka ndoa pumbafu sana yule binti haende kwa wazeee wa miaka 40
Hasara ni kwake kujitoa Kwa mvulana aina yako
 
Tuna 50 huko tunakanyaga under 25. Halafu unamwita tu na kumwambia leo nimejisikia nikuone. Anajibu 'fresh tu'

Kimsingi mwanaume uone haya wewe kutongoza. Mwanaume ana 25yrs anabeba limama la 50yrs.

Ushauri, mtoto wa mwenzio ni mtoto wako. Mheshimu mtoto wa mwenzio.
 
Huyo alijua mzee atamjengea nyumba mzee akishamzalia,kifupi ali bet[emoji2]
Sasa mzee mwenye ana wake wandoa watatu tena ndoa za kiislamu sasa kwa sheria za Dini ya kiislamu mtoto wa nje ya ndoa hawezi kupa urithi na wao wanasema mtoto wa nje ya ndoa ni mtoto wa mama peke ata majina harusiwi kutumia ya baba" sheria hizi wanatumia sana Zanzibar. Sasa Mwanamke ni mkristo utakubali vipi kuzaa nje ya ndoa na muislamu tena mume wa mtu, mtoto atakosa huduma na haki za baba yake yaani ata haki ya malezi tu.
 
Harmonize pekee ndo anaweza kuja kueleza ukweli maana yeye ana uzoefu huko kwa kajala.

Anyways, kuchagua ni kupanga na kupanga ni kuchagua.
 
Kwani unapomtongoza anakuomba cheti za kuzaliwa?
 
Wa mikoani[emoji2955]
Ndiyo wechunguza wanawake wengi waliokulia mikoani uko na kuja mjini wengi wao ndiyo wanatabia ya kuzaa na waume wawatu tena wazee, Binti wa mjini hawezi kuzaa hovyo na wazee au mume wa mtu mkwanza binti wa mjini kuzaa na mzee ataogopa kuchekwa na kutaniwa kwao na marafiki zake, siyo kwamba wasichana wa mjini hawatembei na wazee wanatembea nao.
 
🤝
 
Sisi wengine mwili mdogo mwembamba kila mwaka tuna miaka 25 ni wanawake wanaamini [emoji28]yaani kila mwaka mimi nina miaka 25 sijawahi kuvuka hapo [emoji28]nachukua mabinti kuanzia miaka 18 mwisho 21 sitongozi kabisa wastaaafu wenzangu
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee kutoka na mimama au midada mikubwa above 23 huko ni kujishushia hadhi na kutojiheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…