Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
SafiSisi wengine mwili mdogo mwembamba kila mwaka tuna miaka 25 ni wanawake wanaamini [emoji28]yaani kila mwaka mimi nina miaka 25 sijawahi kuvuka hapo [emoji28]nachukua mabinti kuanzia miaka 18 mwisho 21 sitongozi kabisa wastaaafu wenzangu
Wanawake wanawahi kukomaa kishenziKwanza tambua mwanaume hazeeki jaribu kuwa na watoto mapacha wa kike na wakiume halafu waangalie utajua nani atawahi kukua? Binti wa miaka 18 huwezi mlinganisha na kijana wa kiume wa 18 kiumri wako sawa ila kwa mengine wameachana mbali.
Haina shida wewe oa tu.
Ndiyo wazuri haoUmemaliza mkuu Binti chini ya miaka 27 wengi wao sio wote ni pasua kichwa
Ushajibiwa mzee, usilazimishe ushindi.wakati anakuoa kumbuka ulikua chuchu saa sita, akishakuzalisha watoto watatu unafikiri utakua vile vile?
Maneno yako yangeendana na ubutifu wako Inge halqutyHuo ndo uhalisia na tunawapa yote yanii,,, ooh nampenda mwanaume huyu acha tu
Mi nina 24 njoo olewa na mm ujue mwanaume anakuwa je karibu pm tutestYani nimuogope dogo naemzidi 10 yrs[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio kikombe changu hicho,, hatukui kwa kurudi nyuma kua kua kwanza hizi sifa utazikuta tu usiumie sana mtoto mzuri
Wanataka wenye damu joto sio wewe kimoja au viwili unakoroma na kujaza mto maudenda.Mifumo yote inawabeba wanawake walichobakiza ni kutokutaka kuzeeka ni mwendo wa bata batani na ule mchezo wa bata ndo wanaoupenda.Amini usiaminiMm nina miaka 35 namtaka binti wa miaka 20, najiuliza nkimtongoza huyu binti si ataniona wa ajabu sana? Maana nimemzidi miaka 15 nikikutana naye njiani ananipa Shikamoo.
Hata nkimtongoza akanikubalia, Hatonipendea pesa kweli, maana kiuhalisia mimi ni mkubwa sana kwake.
Wanaume wenye uzoefu na hili pia mnakaribishwa kuchangia hapa.
Inategemea na umbile lakeWanawake wanawahi kuzeeka, labda kwa sababu ya kuzaa...
Mkilingana umri kuna kipindi atakuona kama mamaake au bibi, afu atalazimika kutafuta totoz
Unamanisha diamond alikua anamchungulia zarithebosslady?Kudate na mwanaume uliyemzidi umri hakuna tofauti na kuchunguliwa na mtoto
Size yangu wajomba au baba zako we mtotoMi nina 24 njoo olewa na mm ujue mwanaume anakuwa je karibu pm tutest
jibu hoja au haijibiki?Ushajibiwa mzee, usilazimishe ushindi.
Mifumo yote inawabeba wanawake? Eleza vizuri.Wanataka wenye damu joto sio wewe kimoja au viwili unakoroma na kujaza mto maudenda.Mifumo yote inawabeba wanawake walichobakiza ni kutokutaka kuzeeka ni mwendo wa bata batani na ule mchezo wa bata ndo wanaoupenda.Amini usiamini
Kweli mkuu wanaume ukiwa na mwili mdogo mwembamba na urefu kidogo jamii inakuona bado mdogo.Sisi wengine mwili mdogo mwembamba kila mwaka tuna miaka 25 ni wanawake wanaamini [emoji28]yaani kila mwaka mimi nina miaka 25 sijawahi kuvuka hapo [emoji28]nachukua mabinti kuanzia miaka 18 mwisho 21 sitongozi kabisa wastaaafu wenzangu