Biggs
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 2,068
- 2,314
To them, it's a part of MARKETING MIX. So the choice is yours !!! Go for it or otherwise !!Nyie mademu wa jogging mtakuja mtuuwe jamani
Mnavaa vinguo vya kututega
Sisi wanaume marijali tulishiriki jogging na marathon zenu, tutatoka tumemaliza kila kitu
Tusiige wazungu
Mwanamke wa kizungu hata avae kichupi hawezi kumshawishi mwanaume kihisia, huku kwetu maumbo ya kibantu afu umevàa ki skin tight huku wezele likienda na kurudi😂
Nakuja Dar Jumatano natafuta club ya jogging nijiunge nayo nifurahie unyama
Muhimu tunachukua namba na zoezi linakwisha