Wanawake mnafanya jogging na marathon mnatutega

Nyie mademu wa jogging mtakuja mtuuwe jamani
Mnavaa vinguo vya kututega
Sisi wanaume marijali tulishiriki jogging na marathon zenu, tutatoka tumemaliza kila kitu

Tusiige wazungu
Mwanamke wa kizungu hata avae kichupi hawezi kumshawishi mwanaume kihisia, huku kwetu maumbo ya kibantu afu umevàa ki skin tight huku wezele likienda na kurudi😂

Nakuja Dar Jumatano natafuta club ya jogging nijiunge nayo nifurahie unyama

Muhimu tunachukua namba na zoezi linakwisha
Achana nao hao wa hivyo ni wakomavu kweli kweli ndio wanafanya mazoezi Jim . Hivyo walishabadilika kutoka ule ulaini wa kike kike na kuwa na misuli na ukomavu mkubwa
 
Nyie mademu wa jogging mtakuja mtuuwe jamani
Mnavaa vinguo vya kututega
Sisi wanaume marijali tulishiriki jogging na marathon zenu, tutatoka tumemaliza kila kitu

Tusiige wazungu
Mwanamke wa kizungu hata avae kichupi hawezi kumshawishi mwanaume kihisia, huku kwetu maumbo ya kibantu afu umevàa ki skin tight huku wezele likienda na kurudi😂

Nakuja Dar Jumatano natafuta club ya jogging nijiunge nayo nifurahie unyama

Muhimu tunachukua namba na zoezi linakwisha
Hueleweki, unalalamika kuhusu mavazi ya kina mama wa jogging na uvaaji wao, hapo hapo unakwenda Dar kujiunga na club ya jogging ili ujiumize zaidi ama kupiga punyeto hadharani kama wanaume wa Dar, ni nini haswa unataka?
 
Nalalamika wapi
Hukusoma fasihi😃😅
 
Back
Top Bottom