ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Njoo kwetu nikuonyeshe ndugu yangu mmoja ana miaka 21 yupo chuo mwaka wa 3 ni Sanchi mtupu! Chini shepu sinia juu tumbo kijiko hakuna cha surgery wala nini.sio kweli.
picha za ig zinawadanganya sana mabinti,
wale watu wanafanya cosmetic surgery wanakuwa makatuni.
Kuna wanawake wana mishepu mikubwa halafu vitumbo vidogo usikariri kila kitu ni surgery.
Mungu sio Juma wala John anajua kuumba wewe..!