Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Hapo hamna ubaya sana hela ya mwanamke watafaidi watotoWanajiahami siku mkiachana vitu vyake visiwekwe kwenye mgao.
Jirani yetu anajenga tokea muda ila nyumba bado haijaisha huku mkewe tayari amejenga na nyumba imeisha kaweka wapangaji.
Mume hajui ila majirani tunajua.
Since medieval era 😀Siajua unawazungumzia wa kizazi gani?
Huwezi,utaanza mwanzoni wakati mmekodi nyumba mkishajenga tu ubinafsi unaanza baada ya security!Sina jibu la moja kwa moja ya swali hili.
Kwa upande wangu siwezi kumfanyia hivi mtu niliyenaye kwasababu hela zake nazitumia nitakavyo halafu sio mchoyo.
Hela zangu tutazitumia wote hata nikipata kazi akitaka na mshahara wangu nitampa kila mwezi.
Huyo mwamba ni gaidi 😂Kuna jamaa yangu alimshtukia mkewe ana kibanda cha room 3 na kajenga kimya kimya. Kilichomfanya aanze kufanya uchunguzi ni mke kuanza kuwa jeuri kupitiliza. Alitafuta wahuni wakakivunja usiku, dada wa watu alitumia wiki kama mbili anaongea kwa ukwali huku akitema mate kama cobra bila kueleza kipi kimemkuta.
wabinafsi for a good reasonHamna sehemu niliyo sema ke ni wabaya,ila by nature mwanamke ni mbinafsi ukubali ukatae ipo hivyo.
Na ndio maana tukiachana tunataka tugawane mali zenu nusu kwa nusu.Hapo hamna ubaya sana hela ya mwanamke watafaidi watoto
Umedanganywa wewe.Since medieval era 😀
Sina roho hiyo pia huyu mkaka amenisaidia vitu vingi nakumbuka fadhila zake labda aje kubadilika.Huwezi,utaanza mwanzoni wakati mmekodi nyumba mkishajenga tu ubinafsi unaanza baada ya security!
Kwa hiyo ubinafsi ni good reasons? Ndio maana vijana wa siku hizi wengi wao hawataki ndoa na moja sababu ni huu ubinafsi wa wanawake.wabinafsi for a good reason
una uhakika? mshahara utauweka mezani? au haya ni maneno kabla haujaolewa?Sina jibu la moja kwa moja ya swali hili.
Kwa upande wangu siwezi kumfanyia hivi mtu niliyenaye kwasababu hela zake nazitumia nitakavyo halafu sio mchoyo.
Hela zangu tutazitumia wote hata nikipata kazi akitaka na mshahara wangu nitampa kila mwezi.
Mshahara unawekwa mezani inatolewa % kadhaa za kumtumia mama yangu kijijini.una uhakika? mshahara utauweka mezani? au haya ni maneno kabla haujaolewa?
Yaani hapa nataka nijue Kodi anakuwa anadaiwaje kwa mfanoWanawake wengi ni wabinafsi.
Jackline Wolper nae alisema nyumba aliyojenga mume wake anamlipa kodi 700k
Ukikataa kulipa siunaambiwa tuondoke nyumba yangu napangisha.Yaani hapa nataka nijue Kodi anakuwa anadaiwaje kwa mfano
Kwamba surprise imebuma au!!?Acha uoga Mwamba,ulikuwa unaandakiwa suprise ila sasa umeshaifanya habari ya kawaida wewe mwenyewe.
aisee, moja katika 100, kuna mdau alilalamika hata nauli ya mkewe kwenda kazini anatoa yeye lakini hajawahi kuona hata 100Mshahara unawekwa mezani inatolewa % kadhaa za kumtumia mama yangu kijijini.
Kunakua na mtu wa kati au mwenye nyumba feki anapokea pesa na kuweka kwenye akaunti ya jamaa!!Yaani hapa nataka nijue Kodi anakuwa anadaiwaje kwa mfano
Daaah nakosa hata cha kusema,YaAni inaweza tokea Kodi unalipa na yakitokea marekebisho mpangaji unalipa ,bills zote za mpangaji piaUkikataa kulipa siunaambiwa tuondoke nyumba yangu napangisha.