Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Mi naamini mapenzi ni hisia, kila mmoja anaonyesha hisia zake kwa mwenzake na maisha yanaendelea.

Sasa kumekuwa na tabia kama ya kununua huduma, ili mwanaume apate penzi lazima amgharamie mwanamke, hata kama mwanamke ana kazi au biashara nzuri, bado ataomba apewe fedha; ukishindwa kumpatia, ndipo timbwili timbwili linapoanza.

Sasa mimi najiuliza, kama unauza si bora useme? Ili tujue tunanunua huduma. Na je, hisia zenu zipo kwenye pesa tu?


 

Wanasemaga Love is sweet but when money enter love is sweeter [emoji3][emoji3]
 
Kweli mnatutesa, hakuna mapenzi hapo; bali tunauziwa huduma

Tatizo msipoombwa hamjiongezi, we unamzagamua binti wa watu alafu hata pedi kumnunulia hutaki, kujiongeza hata kumpa hela ya matumizi yake hutaki

Haijalishi ana kazi au hana hudumia jomba acha kulalamika, usitake kula kula usichokihudumia unless uendelee na mafuta na sabuni[emoji23]
 
Kwa maana hiyo, anayepata raha zaidi ni mwanaume mpaka alipie huduma?
 
Mwanaume si ndo umetaka πŸ˜€πŸ˜€πŸŒ, umenikuta zangu sina habari ukanitongoza baba hizo sio shida zangu ni zako kwahiyo kubali tu matokeoπŸ˜…
Itabidi tukae pembeni muwe mnatufuata pale naniii zitakapowazidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…