Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wanawake sikuhizi ni wauzaji in “Stealth-Mode”Mi naamini mapenzi ni hisia, kila mmoja anaonyesha hisia zake kwa mwenzake na maisha yanaendelea.
Sasa kumekuwa na tabia kama ya kununua huduma, ili mwanaume apate penzi lazima amgharamie mwanamke, hata kama mwanamke ana kazi au biashara nzuri, bado ataomba apewe fedha; ukishindwa kumpatia, ndipo timbwili timbwili linapoanza.
Sasa mimi najiuliza, kama unauza si bora useme? Ili tujue tunanunua huduma. Na je, hisia zenu zipo kwenye pesa tu?
Watakujia juu ila ndio ukweli.