Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Si mnaangaliaga matako[emoji28][emoji28]ndo hayo sasa
😅😅😅😅😅😅 jana kuna clip nimeona nimecheka sana!
Demu anapika huyo balaa anasema...”Mume wangu kokote ulipo njoo tu ila mie sina tako ila kwa kula nakuhakikishia utaota mpaka kitambi yani njaa haiwezi kukusumbua kamwe” 😅😅😅😅😅
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] jana kuna clip nimeona nimecheka sana!
Demu anapika huyo balaa anasema...”Mume wangu kokote ulipo njoo tu ila mie sina tako ila kwa kula nakuhakikishia utaota mpaka kitambi yani njaa haiwezi kukusumbua kamwe” [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

[emoji3][emoji3][emoji3]ndio ndo kina sisi haiwezekani hatuna mpododo na kupika tusijue weee
 
Back
Top Bottom