Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Mi naamini mapenzi ni hisia, kila mmoja anaonyesha hisia zake kwa mwenzake na maisha yanaendelea.

Sasa kumekuwa na tabia kama ya kununua huduma, ili mwanaume apate penzi lazima amgharamie mwanamke, hata kama mwanamke ana kazi au biashara nzuri, bado ataomba apewe fedha; ukishindwa kumpatia, ndipo timbwili timbwili linapoanza.

Sasa mimi najiuliza, kama unauza si bora useme? Ili tujue tunanunua huduma. Na je, hisia zenu zipo kwenye pesa tu?
Mi nilikutana na mdada tena mtumishi Idara nyeti akaniomba pesa ya kusuka, nilipomwambia mbona una kazi unashindwaje kusuka akanijibu kutumia pesa yake kusuka inauma sana
 
Hao ndo wazuri kwa matumizi ya mda mchache

Unatoa hela unagonga unapita zako kushoto sasa unataka demu wa maadili kwani unataka kumuoa????

Ukiona unaombwa hela shukuru umepata mwanamke ambaye ht ukimuacha hautajisikia vby maana si mzigo ulinunua.

Hawa mabinti wa kugonga humpi kitu siku ya kuachana mpk mtu unajisikia vby unaanza kumtafutia sababu mtoto wa watu ila hawa mashangingi unajua kbs huyu nisipompa hela ht week tu tyr anaacha kupiga simu na kutuma msg.

Ukija kushika hela unapiga simu unalitumia 100k linakuja unagonga tena unapita hivi..

Mi napenda mwanamke wa kuomba hela mapema sababu nakuwa nishajua toka mwanzo na deal na mwanamke wa aina gani

Hlf ukiona unaombwa hela sana ujue unadate na wanawake wenye maisha magumu tafuta vitoto vya chuo ambavyo kwanza bado vigoli pili,ukikipa 30k kinamaliza week bila usumbufu kwani mademu wa uswahilini mnawapendea nini?sehemu nzuri ya kupata mwanamke anayejua kuoga vzr,gharama ndogo na sio mwanga ni chuo.Unakachukua zako unakapeleka sehemu kanakunywa juice na mbuzi ya 10k kanarudi ghetto kanakalia mb.oo unakarudisha chuo unakapa 30k unakaambia tukutane weekend.

Sasa unataka mtu umechukua namba asubuh jioni kaomba 100k hahaha naukituma kwanza anastukaaa anaita mashoga zake nyieeee jamaniii katumaaaa nilitaka nikanunue kagauni ila nimeghaili ngoja niende kwanza bagamoyo nikamtengeneze huyu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Shoga zake sasa:shoga mwanaume umepata hlf anaonekana mshamba wa wanawake,wanakuwa sio bahili hao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mnafakamia watu wakutaka macho matatu na misingi yenu midogo.
 
Mbona wapo mabint wengi standard wanaojitambua hawaombi ela wakuu, achaneni na izo malaya wapo wanake standard wanajua nn love nn maisha
Huwa nashangaa hawa malaya wanaojifanya wao hawatiwi bila kupewa hela😅 inawezekana vipi hii wakati wapo wanawake wengi tu wanazalishwa na kuliwa na wanaume ambao wao ndio wanawahudumia tena mbaya zaidi ni mitaani humu humu tunamoishi.
 
Hao ndo wazuri kwa matumizi ya mda mchache

Unatoa hela unagonga unapita zako kushoto sasa unataka demu wa maadili kwani unataka kumuoa????

Ukiona unaombwa hela shukuru umepata mwanamke ambaye ht ukimuacha hautajisikia vby maana si mzigo ulinunua.

Hawa mabinti wa kugonga humpi kitu siku ya kuachana mpk mtu unajisikia vby unaanza kumtafutia sababu mtoto wa watu ila hawa mashangingi unajua kbs huyu nisipompa hela ht week tu tyr anaacha kupiga simu na kutuma msg.

Ukija kushika hela unapiga simu unalitumia 100k linakuja unagonga tena unapita hivi..

Mi napenda mwanamke wa kuomba hela mapema sababu nakuwa nishajua toka mwanzo na deal na mwanamke wa aina gani

Hlf ukiona unaombwa hela sana ujue unadate na wanawake wenye maisha magumu tafuta vitoto vya chuo ambavyo kwanza bado vigoli pili,ukikipa 30k kinamaliza week bila usumbufu kwani mademu wa uswahilini mnawapendea nini?sehemu nzuri ya kupata mwanamke anayejua kuoga vzr,gharama ndogo na sio mwanga ni chuo.Unakachukua zako unakapeleka sehemu kanakunywa juice na mbuzi ya 10k kanarudi ghetto kanakalia mb.oo unakarudisha chuo unakapa 30k unakaambia tukutane weekend.

Sasa unataka mtu umechukua namba asubuh jioni kaomba 100k hahaha naukituma kwanza anastukaaa anaita mashoga zake nyieeee jamaniii katumaaaa nilitaka nikanunue kagauni ila nimeghaili ngoja niende kwanza bagamoyo nikamtengeneze huyu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Shoga zake sasa:shoga mwanaume umepata hlf anaonekana mshamba wa wanawake,wanakuwa sio bahili hao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mnafakamia watu wakutaka macho matatu na misingi yenu midogo.
Vya chuo havili sana kumbe😅 ila pia demu wa chuo unaeza ukam hold kwa muda mrefu kidogo maana wengi wanakuwa form 6 za chaka hawana exposure sana.

Unakuwa unajitafunia D number
 
Pesa ni sabuni ya roho
Acha tuombe tu
Pesa sio mapenzi!

Ndio maana hata kuwa waaminifu inawawia vigumu sababu kama pesa ndio password na sio upendo wako basi jua tu kuwa huwezi kuwa na uhusiano na mtu mmoja.

Bidhaa siku zote haikataagi mnunuzi 😅 msihalalishe biashara ya ngono kwa style hio.

Leo ntakupa laki utakuwa na mimi akija wa laki na nusu nae utampa mbunye hapo kuna mapenzi kweli?
 
Back
Top Bottom