Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

😅😅😅😅😅😅 jana kuna clip nimeona nimecheka sana!
Demu anapika huyo balaa anasema...”Mume wangu kokote ulipo njoo tu ila mie sina tako ila kwa kula nakuhakikishia utaota mpaka kitambi yani njaa haiwezi kukusumbua kamwe” 😅😅😅😅😅
Huyu atanifaa sana ila ngoja kwanza nikamilishe kitu kimoja hapa
 
Hizo tabia ndio sinafanya thaman ya ndoa/mahusiano mengi siku hiz kupungua, maana wanaume nao tunajijengea akili ya kuwa wanawake ni wakutumia na kudump hawana masaasa wowotr kwetu
Yeah ndio tulipofikia watu hawaoni sababu ya kuweka efforts sababu anajua ukizingua ataenda honga sehemu apate penzi chap!
 
Vyovyote vile [emoji28][emoji28]ila toa pesa mkuu wacha ubahili na uzuri wetu wengi hua hawaombi usichokimudu hata kama ni kizinga utapigwa kilichopo ndani ya uwezo wako
Wengi wenu hamjui jinsi ya kuomba yani mnaomba mpaka mnapitiliza utakuta mpenz wako mshaara laki 6 sasa mwanamke ataomba laki 3 yakodi akishapewa baada ya wiki 2 anaomba hela ya birthday ya mtoto wa dada yake mara mdogo wake ana daiwa Ada ya shule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hayo ni mengine sie wengine tunaomba kistaarabu
 
Back
Top Bottom