Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Okay Sawa umeongea vyema!!! Lakini sasa kuna hawa wakuishiwa gesi na Luku pindi ukikutana nae tu baada ya muda wanaishiwa na izo vitu au wazazi wao kuumwa pindi akikutana na men” hawa unawazungunziaje?
Wasaidie tu kama una uwezo maana shida tumeumbiwa binadamu .
Kama unampenda mhudumie
 
Umeongea point rafiki .
Unaomba kiustarabu sio kwa ajili ya kumkomoa mtu .
Ukipenda mtu wala hutamkomoa, kila kitu kitaongozwa na upendo so hata kupeana ni kwa upendo tu!

Jukumu la me ni kutoa na kuhudumia, tatizo ni pale ke anapotumia nafasi hiyo kumuumiza mwenzake..maisha yamekuwa tight sana!
 
Well said
Ukimpenda hata humuombi hela kabisa sema ndo hivyo maisha yamekuwa magumu watu inabidi waombe siku ziende.
 
Well said
Ukimpenda hata humuombi hela kabisa sema ndo hivyo maisha yamekuwa magumu watu inabidi waombe siku ziende.
Yeah,
Watu wamemaliza vyuo wapo tu hawana ramani, so wakipata sehem ya kupunguza machungu wanajibana hapo, sio poa hata kidogo!

Huwa nawahurumia sana vijana, though hata sisi wazee tunahemea mirija tu!!!
 
Back
Top Bottom