Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Unaweka vipi akiba ukiwa na majukumu? Hicho kipato cha kuweka akiba kiko wapi. Mambo yamebadilika sana mama!
ni ukweli Mungu atusaidie,,,ila in life kuna wakati unapata,,,naongelea hapo,,ukipata jaribu ku save kidogo '

najaribu tu kuwaza kwa sauti ila mambo ni magumu haswaaaaa
 
Okay Sawa umeongea vyema!!! Lakini sasa kuna hawa wakuishiwa gesi na Luku pindi ukikutana nae tu baada ya muda wanaishiwa na izo vitu au wazazi wao kuumwa pindi akikutana na men” hawa unawazungunziaje?
Kuna mmoja nilikutana naye, baada ya siku mbili kumpelekea moto, anakuja kuomba hela ya mafuta ya gari lita 100
 
uzuri wa hapo au niseme tu pole kwa hili ni kwamba hata Mr. original haamki,,anakuwa anasikitika muda wote

wanaume tafuteni tu hela na mishe ili msimuuzi Mr. original ,,,msimkoseshee raha zake
Mbona nyie mnamuuzi mrs original, mpaka mpewe hela ndio ahudumiwe?
 
ila tujiongeze wakati mwingine.

Ni hivi: wakati unapata usitumie zote weka akiba ili mambo yakiharibika at least you have something unaweza start hata busness kidogo

at least uwe na kitu kinakuweka busy
Wazo zuri, kuwa na vyanzo zaidi ya kimoja
 
Back
Top Bottom