Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Ila kizazi hiki wanaume mmekuwa waoga Sana😂😂😂
Mie sio muoga aisee, najua role yangu kama mwanaume na naitendea kazi! Ambayo ni extra sihangaiki nayo hayo mtafanyiwa na wavulana 😅
 
Hapana wasiongee barabarani Kama vichaa,tunawapa chachu ya kutafuta pesa...unakaaje na mwanamke hata hakuombi hela bwana?sio kweli!utabweteka😂😂😂😂😂natamani mngejua vile pesa yenu inakuwaga tamuu,Unajiona mpenzi wangu ananithamini,anajali shida zangu,hisia zinaongezeka Mara dufu......Muwe mnatupa Basi msisubiri mpaka tuwaombe maana mkitoa kwa hiari yenu hamtolalamika Sana,tatizo mnajikausha tukiomba tu hata Kama mnazo mnaanza kununa😂😂😂
Hahahhaha umuombe ambaye unaona zipo za kumwaga na anatapanya! Sasa mie mpambanaji unaniombaje hela mie umri wa kuhonga sijafikia bado najijenga
 
Ukipenda mtu wala hutamkomoa, kila kitu kitaongozwa na upendo so hata kupeana ni kwa upendo tu!

Jukumu la me ni kutoa na kuhudumia, tatizo ni pale ke anapotumia nafasi hiyo kumuumiza mwenzake..maisha yamekuwa tight sana!
Umeongea vizuri Sana ,mkiongozwa na upendo kila kitu kitakuwa salama,,tatizo tunakomoana hapo ndio shida inapoanzia......
 
Mie sio muoga aisee, najua role yangu kama mwanaume na naitendea kazi! Ambayo ni extra sihangaiki nayo hayo mtafanyiwa na wavulana 😅
Yaani hii tabia ya baadhi ya wanaume kulalamika kwa nini wanawake wanaomba hela haionyeshi ukomavu ,,trust me......Yaani inaonyesha mtu Ni muoga wa majukumu,kumuhudumia mpenzi wako Ni part ya Maisha na Ipo tangu enzi za mababu zetu....Sasa mwanamke uko nae wewe unataka Nani amhudumie?kikubwa kuwa na mwanamke mnayeelewana,mnayeheshimiana,anajua kipato chako,alidhani Kama atademand mpaka kuumiza tatizo lenu hamtuliii kila siku demu mpya
 
Kila mtu anatoa ambacho anacho, mie ntatoa mchango wakuku kojoza tu wasio na mashine watakupeni hela!
Hapo ndipo mnapofail Sasa!punguzeni idadi ya wapenzi hayo yote mawili utaifanya bila mawazo yaani
 
Hahahhaha umuombe ambaye unaona zipo za kumwaga na anatapanya! Sasa mie mpambanaji unaniombaje hela mie umri wa kuhonga sijafikia bado najijenga
Kama umeshafika umri wa kuwa na mwanamke na umri wa kuhonga umeshafika Kaka😂😂Hivi si muige kwa baba zetu ,mama zetu waliokuwa wengine hata kazi hawafanyi Ila wanapendezaa madingi wanahudumia tu......jamani hiki kizazi vipi nyiee,mna nini?
 
Yaani hii tabia ya baadhi ya wanaume kulalamika kwa nini wanawake wanaomba hela haionyeshi ukomavu ,,trust me......Yaani inaonyesha mtu Ni muoga wa majukumu,kumuhudumia mpenzi wako Ni part ya Maisha na Ipo tangu enzi za mababu zetu....Sasa mwanamke uko nae wewe unataka Nani amhudumie?kikubwa kuwa na mwanamke mnayeelewana,mnayeheshimiana,anajua kipato chako,alidhani Kama atademand mpaka kuumiza tatizo lenu hamtuliii kila siku demu mpya
Hahahhahah demu mpya muhimu maana mnaokuwa madem zetu mnafeli! Demu badala uwe faraja unageuka mashine ya kuzalisha stress!
 
Kama umeshafika umri wa kuwa na mwanamke na umri wa kuhonga umeshafika Kaka😂😂Hivi si muige kwa baba zetu ,mama zetu waliokuwa wengine hata kazi hawafanyi Ila wanapendezaa madingi wanahudumia tu......jamani hiki kizazi vipi nyiee,mna nini?
Wazee walihudumia kwa sababu walikuwa na uhakika wanagonga wenyewe tu! Sahizi unahudumia na bado unagongewa aisee. Hamna demu wa pekeako kwa sasa.
 
When a woman reaches 20 men on her sex profile she becomes an outright sales executive in bottom-up normal life
 
Nad

Nadhani ni tamaa tu,nimeona clips nyingi wadada wanagusanisha clitoris wanasagana hadi wanakojoa huku hawana vitu virefu,kibamia kinashindwaje kumtosheleza Mdada au tamaa?

[emoji23][emoji23][emoji23]hapo sasa sina la kujibu kwa kweli
 
Ila jamani wanaume mnaolalamika kwenye huu Uzi unaombwa hela hebu tunawaomba mkue wakubwa Sasa,yaani mkomae kiakili.Hakuna mapenzi bila kuhudumiana yaani hili Jambo Ni nature kabisa.Mwanamme unapomhudumia mpenzi wako inakuongezea Ujasiri na mamlaka na heshima kwa Yule unaemiliki.Hivi mwanaume unajisikiaje unachukua tu mwanamke unafanya Mambo yako then unamwambia tutawasiliana?Haya,anaogea sabuni gani baada ya hapo?anapaka nini ili aendelee kukuvutia,akija ananuka kikwapa unakuja kumtangaza hapa,kazi yenu kusema waoooh umependeza Sana, 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔mmmh shauri yenu.Mpe mpenzi wako huduma kwa kadri ya uwezo wako,na usisubiri mpaka akuombe itakukera tu....kikubwa mpunguze makoloni mbona inawezekana tu ,Na mpunguze story za vijiweni wenzenu wanajifanya hawatoi kumbe ndio watoaji wakuu Nina mashaka Sana na Extrovert 🤣🤣
 
Back
Top Bottom