Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Hahahahahahah mie ndio nakuchana hivyo,,, hela inauma kama ambavyo nyie mnaumia mkitoa zenu ila kwa kuwa mmejitengenezea confidence kuwa lazma mwanaume akupe hela mnaonaga rahisi sana ku spoil hela ya mjuba!

We kama unaweza kuwa muaminifu nisikute una flirt around walau naweza nikakufikiria. Kikubwa zaidi nikikuoa ndio ntatoboka ila sio katika stage ambayo unaweza ukaamka zako tu na kuanza kuwa hujibu text... simu hupigi kumbe una kibwana kipya huo utoto sifanyi!
 
Na kwa nini we mwanaume mpka mwanamke wako akuombe pesa

Mwanaume anayejitambua anayejua umuhimu wake huwa anajiongeza tu mwenyewe

Nina mwanamke ana mahitaji yake lazima nimuhudumie
Mwanamke anayestahili hio treatment ni ambaye katolewa mahari na hana kazi. Sio wabandika kope wanaopuyanga kwenye ma bar kila jioni kutafta madanga.
 
Date mwanamke anaekupenda kweli hutaona hizo mambo
 
Basi bakini na hamu zenu sio mnakuja kulialia huku kila siku na mambo ya kuombwa hela
Hamu hatuwezi baki nazo 😅😅😅mbunye zipo za kushato yani! Sema tu tabia ya kulia lia taftaga mume akuhudumie na utulie ndani uhudumiwe
 
Mwanamke anayestahili hio treatment ni ambaye katolewa mahari na hana kazi. Sio wabandika kope wanaopuyanga kwenye ma bar kila jioni kutafta madanga.
Ndio tunasema date mwanamke anaekupenda kweli ata hela ataomba kiustaarabu...tafuteni wanawake wa aina hiyo mbona wapo wengi tu.Sasa nyie mnataka slay queens nakuambia lazima shoo muipate kisawasawa.
 
Date mwanamke anaekupenda kweli hutaona hizo mambo
Na ndo maana juzi niliweka bandiko kuwa tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda. Nilimaanisha hicho.

Mwanamke anayekupenda hakosi nauli ya kuja kukuletea mbunye kila ukimuhitaji ila malaya atataka atumiwe nauli! Malaya atataka malipo after sex. Mwanamke anayekupenda siku ukimwambia sina anakuelewa aanzishi zogo!
 
Tatizo mnaomba omba mno...yaani kuonana leo tu mizinga inaanza mara moja
 
Mwanamke huyohuyo anaekupenda kweli kuna siku anaeza kuomba pesa...mpe au nae atawekwa kwene kundi la wauzaji??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…