Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Nakuja mamyAweeee nakula combo fantasy uje ulipe dear[emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuja mamyAweeee nakula combo fantasy uje ulipe dear[emoji3][emoji3]
Hahahahahahah mie ndio nakuchana hivyo,,, hela inauma kama ambavyo nyie mnaumia mkitoa zenu ila kwa kuwa mmejitengenezea confidence kuwa lazma mwanaume akupe hela mnaonaga rahisi sana ku spoil hela ya mjuba!Kuna mahusiano mengne wanaume wenyewe ndio mnazingua alaf mtakuja kusema hapa nimegharamia sana afu nimeachwa sasa. Yaan unavyoongea ni kama wakat wote wanawake ndio tunazingua mbona nanyie mna madudu kibao ila kwa sababu tu ndio mnatoboka zaidi mifuko lawama zote kwetu.... Extro toa hela buana wacha maneno zingi
Mwanamke anayestahili hio treatment ni ambaye katolewa mahari na hana kazi. Sio wabandika kope wanaopuyanga kwenye ma bar kila jioni kutafta madanga.Na kwa nini we mwanaume mpka mwanamke wako akuombe pesa
Mwanaume anayejitambua anayejua umuhimu wake huwa anajiongeza tu mwenyewe
Nina mwanamke ana mahitaji yake lazima nimuhudumie
Basi bakini na hamu zenu sio mnakuja kulialia huku kila siku na mambo ya kuombwa helaMwanamke anayestahili hio treatment ni ambaye katolewa mahari na hana kazi. Sio wabandika kope wanaopuyanga kwenye ma bar kila jioni kutafta madanga.
Date mwanamke anaekupenda kweli hutaona hizo mamboHahahahahahah mie ndio nakuchana hivyo,,, hela inauma kama ambavyo nyie mnaumia mkitoa zenu ila kwa kuwa mmejitengenezea confidence kuwa lazma mwanaume akupe hela mnaonaga rahisi sana ku spoil hela ya mjuba!
We kama unaweza kuwa muaminifu nisikute una flirt around walau naweza nikakufikiria. Kikubwa zaidi nikikuoa ndio ntatoboka ila sio katika stage ambayo unaweza ukaamka zako tu na kuanza kuwa hujibu text... simu hupigi kumbe una kibwana kipya huo utoto sifanyi!
Hamu hatuwezi baki nazo 😅😅😅mbunye zipo za kushato yani! Sema tu tabia ya kulia lia taftaga mume akuhudumie na utulie ndani uhudumiweBasi bakini na hamu zenu sio mnakuja kulialia huku kila siku na mambo ya kuombwa hela
Ndio tunasema date mwanamke anaekupenda kweli ata hela ataomba kiustaarabu...tafuteni wanawake wa aina hiyo mbona wapo wengi tu.Sasa nyie mnataka slay queens nakuambia lazima shoo muipate kisawasawa.Mwanamke anayestahili hio treatment ni ambaye katolewa mahari na hana kazi. Sio wabandika kope wanaopuyanga kwenye ma bar kila jioni kutafta madanga.
Na ndo maana juzi niliweka bandiko kuwa tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda. Nilimaanisha hicho.Date mwanamke anaekupenda kweli hutaona hizo mambo
Tatizo mnaomba omba mno...yaani kuonana leo tu mizinga inaanza mara mojaTatizo msipoombwa hamjiongezi, we unamzagamua binti wa watu alafu hata pedi kumnunulia hutaki, kujiongeza hata kumpa hela ya matumizi yake hutaki
haijalishi ana kazi au hana hudumia jomba acha kulalamika, usitake kula kula usichokihudumia unless uendelee na mafuta na sabuni[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wanaume wenyewe nyie sio bora nniendelee kuwa mwenyewe tuHamu hatuwezi baki nazo [emoji28][emoji28][emoji28]mbunye zipo za kushato yani! Sema tu tabia ya kulia lia taftaga mume akuhudumie na utulie ndani uhudumiwe
wewe ukiomba pesa kaa ukijua hupendwi tuuNa kwa nini we mwanaume mpka mwanamke wako akuombe pesa
Mwanaume anayejitambua anayejua umuhimu wake huwa anajiongeza tu mwenyewe
Nina mwanamke ana mahitaji yake lazima nimuhudumie
Aah olewa bwana uhudumiwe😅 bila kokoro! Tatizo hata ndoa hamziwezi tamaa tu acheni hizo bana!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wanaume wenyewe nyie sio bora nniendelee kuwa mwenyewe tu
We mzee na kwa nini uombwe pesa kama we mwanaume unajitambuawewe ukiomba pesa kaa ukijua hupendwi tuu
Nieka imi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aah olewa bwana uhudumiwe[emoji28] bila kokoro! Tatizo hata ndoa hamziwezi tamaa tu acheni hizo bana!!!
Ukunda kughuiwa mndee? Ghuiwa uje vyedi heka muomo😅Nieka imi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uko kama mimiMimi nisipokuomba hela..... Ujue sikupendi.
Yan hata kwenye ratiba yangu haupooooooooooo
Ushe hemjiongeza tutendeze mghoshi asiejieongeza akunda kuzagamuwa tu woiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukunda kughuiwa mndee? Ghuiwa uje vyedi [emoji28][emoji28][emoji28]
Mwanamke huyohuyo anaekupenda kweli kuna siku anaeza kuomba pesa...mpe au nae atawekwa kwene kundi la wauzaji??Na ndo maana juzi niliweka bandiko kuwa tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda. Nilimaanisha hicho.
Mwanamke anayekupenda hakosi nauli ya kuja kukuletea mbunye kila ukimuhitaji ila malaya atataka atumiwe nauli! Malaya atataka malipo after sex. Mwanamke anayekupenda siku ukimwambia sina anakuelewa aanzishi zogo!
kitumbua kitaoza hicho[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wanaume wenyewe nyie sio bora nniendelee kuwa mwenyewe tu