Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tutumie kwanza mambo ya kulana ni baadae
Kuna mdada nilikutana naye sehemu, kabla ya kumpa hela alikuwa ana sura ya mbuzi; nilipompatia salio, nikaona anaanza kunitikisia chura yake; ama kweli, bila kutoa hela hupati huduma.
 
Upendo wa kweli unasahaugi hata pesa unajikuta unakumbuka ukuni wake tu...
Kumhudumia mwanamke wako ni wajibu wako usisubiri awe ombaomba kwako
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ya chochote kile

Ila we big girls hatuombi hela hovyo ila get ready hiyo siku ukiombwa[emoji3][emoji3]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…