Wanawake mnaosimama kanisani kweli mmekosa wachumba na wanaume?

Ni kweli..
 
Nikuambie: Badili jina lako ujiita IDIOT ndilo litakufaa zaidi.
 
Kweli tupu. Kuna dada anaitwa Zanana Juice Kuna interview yake ipo YouTube alisema mwanamke ni kama bidhaa ina-depreciate umri unavyosonga. Anasema mwanamke peak yake ni 16-25.
 
kuna mmoja alikuwa kwenye mkutano fulani akaenda mbele ili apate mchumba na mume aliporudi nikaomba namba ya simu ila jibu na jicho alilonipa ilitosha kusema endelea tu kuwekewa mikono na watumishi
Teh teh teh 😂😂 anataka mchumba ashushwe kutoka mbinguni...yaani alipiga teke fursa iliyojitokeza mbele yake.
to yeye
 
Kweli tupu. Kuna dada anaitwa Zanana Juice Kuna interview yake ipo YouTube alisema mwanamke ni kama bidhaa ina-depreciate umri unavyosonga. Anasema mwanamke peak yake ni 16-25.
Utadhani wenye miaka 32 hawaolewi

Umri wowote mtu yoyote anaoa na kuolewa

Na kudumu kwny ndoa haijalishi umeingia na miaka mingapi

Tena zinazodumu ni za waliokomaa kiakili sio watoto wa huo umri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…