Wanawake mnatuchukuliaje sisi Wanaume?

Wanawake mnatuchukuliaje sisi Wanaume?

Watu wa JamiiForums huwa wananishangaza sana. Na leo hii nakushangaa na wewe.

JF ni anonymosity forum. Hauwezi jua uhusika wa account owner hata iweje, kitu kinachofanya iattract kundi kubwa la watu insecure na ordinary kwa urahisi na kinyume chake kwa uchache watu wenye Agenda maalum. Means ni ngumu na hauwezi kuta binti mdogo kwenye prime yake akitumia JF.
Mostly female users wa jf ni watu wazima over 30s waliopigika na maisha wakilingia fake avatars ni wish fulfilment kwa kutumia Profile pictures za warembo na mabinti wadogo wenye mvuto kutoka Instagram. Instagram sehemu ambayo warembo na mabinti wadogo wanapapenda sababu ni rahisi kuonesha mivuto yao. You see? It's all connected. Tafuta pesa na blah blah nyingine, again ni wish fulfilment. Hivyo futa hiyo kauli ya "Mabinti" wa JF.

Kingine ni kwamba JF ni mtandao mdogo hivyo ni rahisi kwa watu ordinary kupata cheap popularity. Get outside touch some grass goddamnit!
Kweli kabisa maisha yametupiga sana ukweli usemwe 🙁hata umri wetu mkubwasana
 
Habari wanajamii,

Nimeona nielekee kwenye mlengo wa madaa husika, Nimejaribu kufanya uchunguzi sana kwenye baadhi ya mazungumzo ya hawa wanawake tulionao humu ndani ya hii forum na kubaini kuwa wengi wa mabinti waliojiunga na hii forum ni sehemu ya wanawake waliopitia shida na mateso mengi sana hadi hivi sasa kuna wengine bado wamefungamana na mateso hayo hadi hivi leo.

Hivyo hii hali imewapelekea kutotambua nini haswa wanachohitaji kupatiwa katika maisha yao binafsi, Na hili limewafanya kuchanganya hali ya maisha na mahusiano kwani wengi wao wamekuwa wakitafuta wapenzi wa kuwatoa kimaisha lkn wengi wamejikuta wakiangukia pua kwa kutotambua nini haswa wanachohitaji kwenye mahusiano yao, Ingawa sijajumuisha wote humu ila ni baadhi yao wamekua na mihemko ya ajabu sana pale linapokuja suala la mahusiano.

Wengi wao wanafikiria mahusiano ni lazima kuwa na mtu mwenye hela nyingi ndio mwanzo mzuri wa wao kufanikiwa lkn wamejikuta wanakutana na hali ya ndivyo sivyo na kuambulia mateso mengi sana katika maisha yao.

Qn: HIVI NI NINI HASWA WANAWAKE MNAHITAJI MAISHANI KWENU MFANYIWE ILI MTULIE KAMA WATOTO NA NDIVYO MNAPENDEZWA KUWA NA HALI HIYO!

Cc: Clepatina , cocastic , Cute Wife , Shunie , Amehlo , Darlin , Ms eyes , Mrs Thabo Bester , charrote & all who ain’t in a list but we do love to show our respects.

Best Regards

All JamiiForums members
Mbona Chakorii mnamsahau?
 
Back
Top Bottom