IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,179
- Thread starter
-
- #281
Hapana! Ni wapi hapo..🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba tamuuu na mie nifundishee kupiga ulabuu, tuwe tunashida wote palee Flamingo Inn, unapajuaa?? Huhuhuh
Wao that's good mpo fresh mtualikie kwenye harusi
Nakupenda dada! 😘Nimekuachia best Kwa moyo mweupe
WhyNakupenda dada! 😘
Yes! Sunshine 😘Woiiiii!! Really?
Umenisaidia sana! 😍
🤣🤣🤣🤣 harusi 🤣🤣🤣🤣Wao that's good mpo fresh mtualikie kwenye harusi
Kwenye ugonjwaUmenisaidia sana! 😍
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tokaa hapa.Hapana! Ni wapi hapo..[emoji1787]
Ndio na nilifuata malekezo yako juu ya up diko kwenye ule mwongozo wa dishi ishu...Aki umekua mwokozi acha ni weke wazi...Unafaa sana...😘Kwenye ugonjwa
[emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182] faza honey akee.Yes! Sunshine [emoji8]
[emoji120][emoji120][emoji120]ubarikiwe shostNimekuachia best Kwa moyo mweupe
Love you so so much to the death 🤣🤣🤣[emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182] faza honey akee.
[emoji482][emoji482]Love you so so much to the death [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Flamingo ni wapi sasa...Maelekezo tafadhali..😘[emoji482][emoji482]
[emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Nakupenda sana! Wewe dada, Huna baya I say unafaaa sana🤣😘😘🖤[emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182] faza honey akee.
Kweli kabisa maisha yametupiga sana ukweli usemwe 🙁hata umri wetu mkubwasanaWatu wa JamiiForums huwa wananishangaza sana. Na leo hii nakushangaa na wewe.
JF ni anonymosity forum. Hauwezi jua uhusika wa account owner hata iweje, kitu kinachofanya iattract kundi kubwa la watu insecure na ordinary kwa urahisi na kinyume chake kwa uchache watu wenye Agenda maalum. Means ni ngumu na hauwezi kuta binti mdogo kwenye prime yake akitumia JF.
Mostly female users wa jf ni watu wazima over 30s waliopigika na maisha wakilingia fake avatars ni wish fulfilment kwa kutumia Profile pictures za warembo na mabinti wadogo wenye mvuto kutoka Instagram. Instagram sehemu ambayo warembo na mabinti wadogo wanapapenda sababu ni rahisi kuonesha mivuto yao. You see? It's all connected. Tafuta pesa na blah blah nyingine, again ni wish fulfilment. Hivyo futa hiyo kauli ya "Mabinti" wa JF.
Kingine ni kwamba JF ni mtandao mdogo hivyo ni rahisi kwa watu ordinary kupata cheap popularity. Get outside touch some grass goddamnit!
Shosti angu best mwaaa🥰🥰[emoji120][emoji120][emoji120]ubarikiwe shost
Mbona Chakorii mnamsahau?Habari wanajamii,
Nimeona nielekee kwenye mlengo wa madaa husika, Nimejaribu kufanya uchunguzi sana kwenye baadhi ya mazungumzo ya hawa wanawake tulionao humu ndani ya hii forum na kubaini kuwa wengi wa mabinti waliojiunga na hii forum ni sehemu ya wanawake waliopitia shida na mateso mengi sana hadi hivi sasa kuna wengine bado wamefungamana na mateso hayo hadi hivi leo.
Hivyo hii hali imewapelekea kutotambua nini haswa wanachohitaji kupatiwa katika maisha yao binafsi, Na hili limewafanya kuchanganya hali ya maisha na mahusiano kwani wengi wao wamekuwa wakitafuta wapenzi wa kuwatoa kimaisha lkn wengi wamejikuta wakiangukia pua kwa kutotambua nini haswa wanachohitaji kwenye mahusiano yao, Ingawa sijajumuisha wote humu ila ni baadhi yao wamekua na mihemko ya ajabu sana pale linapokuja suala la mahusiano.
Wengi wao wanafikiria mahusiano ni lazima kuwa na mtu mwenye hela nyingi ndio mwanzo mzuri wa wao kufanikiwa lkn wamejikuta wanakutana na hali ya ndivyo sivyo na kuambulia mateso mengi sana katika maisha yao.
Qn: HIVI NI NINI HASWA WANAWAKE MNAHITAJI MAISHANI KWENU MFANYIWE ILI MTULIE KAMA WATOTO NA NDIVYO MNAPENDEZWA KUWA NA HALI HIYO!
Cc: Clepatina , cocastic , Cute Wife , Shunie , Amehlo , Darlin , Ms eyes , Mrs Thabo Bester , charrote & all who ain’t in a list but we do love to show our respects.
Best Regards
All JamiiForums members