Wanawake mnavutiwa na nani humu JF?

Wanawake mnavutiwa na nani humu JF?

Mtaje tupo na Maua tutakutetea bana [emoji23][emoji23]
Hebu mtaje haraka basi uzi uchangamke wakija na mapovu yao tunadekia korido za jf [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
😂😂😂😂😂kwani povu wanatolea hapa😂,povu linakujia piemu😁,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani povu wanatolea hapa[emoji23],povu linakujia piemu[emoji16],

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si ndio vizuri unampa makavu yake uko uko tena unakuwa mkali mara kumi yake
 
Back
Top Bottom