Wanawake mnavutiwa na nani humu JF?

Mimi ni bora asinifate nitamnawa mpk ajishangae sipendagi upuuzi kabisaa haswa khs wanaume tena wa jf.
Mtu anifate kwa issue za msingi sio za wanaume aiseee!! Ndo nitamuharibia mood yake kabisaa waachane na huyo kiposongo wake
Oyooo auntiee huyo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….
 
[emoji2222][emoji2222][emoji2222] Napiga kwenye mshono anajuta kuvamia piem yangu
Pigilia kabisa kwenye mshono na sura zao nyeusi na mbaya kama mkaa wa kawe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…