Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Kataa ndoa hamuwezi kuelewa alichokisema jamaa.Kweli kuna masalia ya watu mpo bado na moto na huu ujinga wa kuitwa ndoaπ€
Idadi ya watu wenye tamaa na hayo mambo ya ndoa kwa sasa imepungua sana , hata hivyo ningekua nataka ndoa nisingeoa mwanamke goigoi wa kunisikiliza tu mimi .Kataa ndoa hamuwezi kuelewa alichokisema jamaa.
Hiyo mifumo ya mwanamke kuto kuwa na ego kwa sasa imekwisha , kama ni uchumi ndani ya familia kila mmoja anao uwezo wa kuleta ugali mezani , labda uoe mwanamke goigoi wa kukaa tu nyumbani ndio utaweza kumpelekesha utakavyo.Timu kataa ndoa wanakuja kuvamia uzi mazima
Ndoa ni kwa ajili ya wanao jitambua bwasheeKweli kuna masalia ya watu mpo bado na moto na huu ujinga wa kuitwa ndoaπ€
Asili haipotei iko pale pale bwasheeHiyo mifumo ya mwanamke kuto kuwa na ego kwa sasa imekwisha , kama ni uchumi ndani ya familia kila mmoja anao uwezo wa kuleta ugali mezani , labda uoe mwanamke goigoi wa kukaa tu nyumbani ndio utaweza kumpelekesha utakavyo.
Hizo ni taratibu za mlivyo jipangia na tamaduni zenu tu , wahadzabe wao mwanamke ndio mwenye nyumba , hata mume wake akishindwa leta chakula anafukuzwa na analeta mwingine ndani ya nyumbaAsili haipotei iko pale pale bwashee
Mfuge simba ndani au chui ipo siku anakuraru tu
Kwahiyo mamlaka ni ya mwanaume ndani ya ndoa period.
Ingekua mnajitambua tusingesikia matukio yenu ya uwehu ndani ya hizo ndoaNdoa ni kwa ajili ya wanao jitambua bwashee
"Mwanamke goi goi wa kunisikiliza mimi tu"Idadi ya watu wenye tamaa na hayo mambo ya ndoa kwa sasa imepungua sana , hata hivyo ningekua nataka ndoa nisingeoa mwanamke goigoi wa kunisikiliza tu mimi .
Hao ambao wanalia lia hawajitambui badoIngekua mnajitambua tusingesikia matukio yenu ya uwehu ndani ya hizo ndoa
Ndoa ni maamuzi na machaguo ya mtu binafsi hakuna cha kujitambua wala niniHao ambao wanalia lia hawajitambui bado
Wanao jitambua wanadili na changamoto za ndoa ndani kwa ndani,wakishindwana utasikia wameachana tu,hakuna kuumizana wala kuleteana kashfa
Ukweli mchungu sana huu, maisha na nyakati zinabadilikaHiyo mifumo ya mwanamke kuto kuwa na ego kwa sasa imekwisha , kama ni uchumi ndani ya familia kila mmoja anao uwezo wa kuleta ugali mezani , labda uoe mwanamke goigoi wa kukaa tu nyumbani ndio utaweza kumpelekesha utakavyo.
Huu ndio ukweli vijana wakiume wafundishwe namna ya kuishi na wanawake wanaojiweza kiuchumi na kutambua haki zaoUkweli mchungu sana huu, maisha na nyakati zinabadilika
Ishu sio uchumi Wala kutambua haki,ishu ni kuheshimu nafasi na mamlaka ya mumeHuu ndio ukweli vijana wakiume wafundishwe namna ya kuishi na wanawake wanaojiweza kiuchumi na kutambua haki zao
Haya ndio hatuyatakiView attachment 3485696
πππ
Mtu kakusalimia vzr kakuachia na ela apo shida iko wapi? Hujaoneshwa dharau na kodi ya meza umeachiwa kiroho safi tu..πHaya ndio hatuyataki