Wanawake Mnaweza Kuwa Na Ego Kwenye Biashara na Kazini Lakini Sio Kwenye Ndoa

Wanawake Mnaweza Kuwa Na Ego Kwenye Biashara na Kazini Lakini Sio Kwenye Ndoa

Like how?
Mme wangu naomba basi utaosha uto tuvyombo badae ukipumzika sawa? Nakupenda eeh! Haya byeee!!
Hivi??
Akisema anampenda wakati kamwambia aoshe vyombo,ni kama katumia ulaghai kumlainisha mwamba

Walau aseme "mume wangu kama hutojali nitashukuru kama utanisaidia kuweka mambo sawa hapa home"

It sounds a little bit polite kwa lugha hii, hata bey atasaidia
 
Akisema anampenda wakati kamwambia aoshe vyombo,ni kama katumia ulaghai kumlainisha mwamba

Walau aseme "mume wangu kama hutojali nitashukuru kama utanisaidia kuweka mambo sawa hapa home"

It sounds a little bit polite kwa lugha hata bey atasaidia
Ooh i got you! Hapa the goal ni aoshe vyombo basi lugha ndio itacheza na akili ya mwamba wenu😁😁
 
Ooh i got you! Hapa the goal ni aoshe vyombo basi lugha ndio itacheza na akili ya mwamba wenu😁😁
Ndio maana how to communicate ni moja ya skills muhimu sana,kila mtu anacommunicate but how do you communicate that matters
 
Kwakuwa mzigo umewekwa mezani na lugha nzuri imetumika mwamba atafua hadi nguo🤣🤣
Safi!😁

Sema haya mambo ya kidwanzi sana.. nmekumbuka last yr nilipata ka-bf bn, eti tumetoka usiku kurudi kakazidiwa na ulevi ni kageni kwenye hizo mambo ss kwangu ndio karibu ikabidi kalale seblen maana hatukuwa official tulikuwa ndio tumemeet, ss mwenzangu kulala hapo hiyo siku ndio akahamia jmn🙄.. ndio nikawa nikienda kazini narudi nakuta kanasugua masufuria, vyombo vyote visafii! Mara kamefata mboga kamepika kiukweli kalinisave sn wkt ule, Na hivi nlikuwa mvivu mbona alijua kudeki mle ndani kijana kitanda anatandika freshy kbs.. ila vijana🙌🏾
 
Mwamba alijiongeza akapiga hesabu akaona ili niendelee kula mema ya nchi kama mwanamtandao ngoja nimfurahishe babe wangu
 
Mwamba alijiongeza akapiga hesabu akaona ili niendelee kula mema ya nchi kama mwanamtandao ngoja nimfurahishe babe wangu
Aisee nilihama kama nipo, nikamwambia hapa kodi inaisha inakuwaje ss? Ooh sijui tafuta tu nyumba ntalipia.. nikamwambia napeleka vitu home kwanza nikipata nyumba tutachonga😂 mpaka leo, akhuu bab!!
 
Twende mbele turudi nyuma wazeee, mwanamke pekee alie na kiburi ndani ya ndoa ni mwanamke ambae 1. Humkuni vizuri 2. Haumhudumii . Hizi ni kelele tu humu ndani hizi mada kwakweli zinaonesha wanaume wengi hamtimizi majukumu yenu . Hamna mwanamke mwenye kiburi unaemnyooosha kitandani na nyumbani kwako. Wewe mwanaume ndo dhaifu, jitathmini. Hawezi mwanamke akakusaidia majukumi afu akakuheshimu, hii haipo ndugu zangu. Kama mkeo ana cheo jitahidi asijitoe zaidi yako kwa nyumba yako or else mpaka watoto watajua ada anatoa mama. Hio hesabu mbona ni simpo, kama unaona shida oa mwanamke ambae ni mama wa nyumbani ufanye wewe kila kitu atakuwa anakupigia hadi goti, ila hawa wa kufanya kazi toa zaidi yake, utafurahi. Maaana hizi maana zinaaashiria mnateseka sababu ya ubahili wenu wa kutegea majukumu, mwishowe mwanamke akaudharau mwisho wake ni kuchapiwa mazeee
 
Back
Top Bottom