- Thread starter
- #201
Khaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣 basi kuanzia leo ntamwaga Uno hadi usikie kizunguzungu, uzimie, ufe🤣🤣🤣🤣Kwahiyo uliamua kuja JF kunianzishia uzi? Haya nimekuelewa sitakufokea tena lakini na wewe tatizo lako 6*6 unakuwa gogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣 basi kuanzia leo ntamwaga Uno hadi usikie kizunguzungu, uzimie, ufe🤣🤣🤣🤣Kwahiyo uliamua kuja JF kunianzishia uzi? Haya nimekuelewa sitakufokea tena lakini na wewe tatizo lako 6*6 unakuwa gogo
kama anakufokea hakupendi au ana matatizo binafsi ya kisaikolojia, wanaume hatuko hivo....Huo ndo ukweli🤣🤣🤣🤣
Khaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi kuanzia leo ntamwaga Uno hadi usikie kizunguzungu, uzimie, ufe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeamua kumuelewa, kuna maisha alipitia utotoni.....though ni Kazi hasa kuendana na hiyo Hali.kama anakufokea hakupendi au ana matatizo binafsi ya kisaikolojia, wanaume hatuko hivo....
🤣🤣🤣🤣🤣 Ukifa nadanga🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23]
Uno liwe la mahaba sasa,ukiniua utabaki na nani my dear
hii ndo maana halisi ya committed relationship😂 nakupa pongezi....Nimeamua kumuelewa, kuna maisha alipitia utotoni.....though ni Kazi hasa kuendana na hiyo Hali.
Kuhusu kunipenda naamini ananipenda, sidhani Kama kuna anayenipenda zaidi ya huyu mwanaume jamani.
Asante, halafu hata Kama hanipendi Mie sijali, muhimu mie nampenda tutatumia upendo wangu🤣🤣🤣hii ndo maana halisi ya committed relationship😂 nakupa pongezi....
Kwa mfano ukimkosea kitu gani!?Habari zenu jamani.
Naomba kuuliza, inawezekana mie nimesahau mafundisho ya shangazi, wanawake wenzangu mnawezaje kuishi na mwanaume anaye fokafoka? Maana mimi naona yamenifika hapa!
Huyu mwanaume amenizidi umri kwa miaka saba, sasa sijui ananichukulia mimi mdogo yake! Yaani nikikosea kitu kidogo atafoka huku ananikata jicho kali, haijalishi kuna dada wa kazi karibu, ni atafoka tu! Huyo dada wa kazi nae anafokewa hadi namuonea huruma mtoto wa watu.
Huwa nanyamaza kisha namtafutia pose zuri namwambia anavyonikwaza ila routine ni ile Ile, nahisi kukonda, kugombana nae siwezi atanibonda nife.
Naombeni mbinu jamani nifanyeje, yamenifika kwa koo mwenzenu?!
HahahahMvumilie tu huyo Ni mumeo na ulimchagua mwenyewe
SafiAsante, halafu hata Kama hanipendi Mie sijali, muhimu mie nampenda tutatumia upendo wangu🤣🤣🤣
sipendi tu kufokewa, mimi ni dady'girl, sijawahi kufokewa fokewa utotoni.....halafu yeye kalelewa na mama wa kambo full masingi...imagine🤣🤣🤣 nikimwambia ananifokea ananambia nadeka tu, yeye hafoki🤣🤣🤣🤣
Ni mtu wa kanda maaruum rorya mura?Huko kwenye kumpea hafoki, kwanza sijawahi kumnyima toka anioe....ye mwenyewe anakiri hilo.
Ila hebu fikiria labda namtengea chakula, bahati mbaya wakati naweka glass mezani nikosee hesabu glass ijigonge, jamani atafokaaa, Yani atanifokea Kama mtoto.