Wanawake msio na ‘shepu’ mnaboa sana, hamjiamini na kujiachia tuwapo faragha

Wanawake msio na ‘shepu’ mnaboa sana, hamjiamini na kujiachia tuwapo faragha

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,227
Reaction score
4,773
Heshima Kwenu Wana JF,

Wanawake wengi flat screen na vimbau mbau unaweza kua umewapenda the way walivyo lakini tatizo lao kubwa wakiwa faragha hawana confidence ya kujiachia kama wenye maumbo yao.

Badilikeni mnatuboa sana maana sie hua tumewapenda vile mlivyo.
 
Ilitakiwa wewe ukiwa nae umfanye ajikubali ili awe huru kama huyu wangu
Flat.jpeg
 
Huyo atakuwa wakwako tu. Hutku field hao ndio hasa tunawapenda. Kwenye 6x6, match inaoigea kama Bagdadi. Aisee Mungu hakunyimi vyote. Mpaka masela wanabaki kusema hivi umempendea nini? Jibu langu She is a Woman.

Kimsingi mwanamke amepewa vitu vingi sana vyakupenda. Usipompenda kwa sura utapenda umbo lake. Ukikosa sura na umbo basi tabia itambeba. Ukikosa vyote basi hata miguu tu au macho yatakuvuotia.
 
1.Mtengenezee mazingira ya kujiamini na kujiskia huru anapokua na wewe,

2. Mfundishe unavyotaka wewe awe.

Mwanamke kaumbiwa aibu sana, hasa kwamtu anayempenda.

Mwanamke ambae hajakuzoea vizuri hawez kujiachia achia kiboya boya kama unavyodhani.

Maana na sisi wanaume sometimes hatuishiwagi maneno,
"Yule Mdada kufika TU kashainyonya, sijakaa sawa keshanitengea mbuzi kagoma. Mara kaikalia kwa juu. Aisee Sio bure atakua Malaya Sana Yule mwanamke. Kwa ZILe style HAMNA MKE PALE"
 
Back
Top Bottom