Wanawake mtambue mwanaume kuvumilia usaliti ni 1 kati ya 10 chezeni kwa step

Mwanamke? Nifanyie ujinga lkn sio usaliti. Usaliti nikauthibitisha nilazima tuachane tu tena nbora uniache mapema kabla sijajua, kwasababu nikijua ,ukiona sijakuacha km weee ni mpenzi/mchumba tutaishia tu kukutumia lkn sitokaa nifanye hatua nyingine yabhapo naabadae bado tutaachana tu kwasababu hata mahusiano yenyewe hatokaa ayafurahie tena,..... Shida moja nilonayo nimgumu kusahau na msamaha wangu unategemea nakosa .

Simpo.
 
Well well well said mkuu huu ndiyo ushauri
 
Nimefuatilia mijadala ya hawa wanawake waliouwawa na waume zao wanawake wengi wanashindwa kuelewa kwanini inakuwa hivyo sasa najaribu kuwapa psychology yamwanaume anapogundua anasalitiwa.
 
Kabisa mkuu wanawake wanapaswa kuwaelewa wanaume tofauti na wanavyojifikiria wao.
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
[emoji106][emoji106]
 
Tatizo letu nchi zinazoendelea mtu anavumilia ndoa hata Kama kuna matatizo ambayo usuluhishi wake ni mgumu. Jamie zetu zinapaswa kubadili mtazamo kuepusha vifo visivyo vya lazima.
 
Tatizo letu nchi zinazoendelea mtu anavumilia ndoa hata Kama kuna matatizo ambayo usuluhishi wake ni mgumu. Jamie zetu zinapaswa kubadili mtazamo kuepusha vifo visivyo vya lazima.
Yes ni lazima tubadilishe mitazamo kwa kweli wengi wanaona ndoa kama jela ati ukiingia huwez toka.
Kuachana ni suluhisho pale unapochoka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu umegonga keyboard kwa hisia kali mno. Nikuulize tu kuwa wewe huwa ni mwaminifu katika mahusiano? Yaani ukiwa na mpenzi au mke no cheating kabisa? Kama jibu ni NDYO basi nimekuelewa hisia zako ila kama huwa una cheat basi chukulia poa na ukichapiwa ni siri ya ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…