mwanawao
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 3,192
- 5,743
Tabia yetu wanaume ya kuficha maumivu kwenye mahusiano kama unaficha begi lenye nyara za taifa (meno ya tembo) ndio inafanya tunakufa mapema.
Mimi my wangu akiniumiza nalia kabisa kwa kurusha rusha miguu. Ile kimasta🙃
Tatizo ni kuweza kufanya hii kitu, hata nijikamue je, chozi huwa haliji kabisa kabisa,
Ila.unasikia tu maumivu ya ndani, ila chozi wapi mazeee,,