Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MhhhMi ndo maana namuhongaga mume wangu milioni kila mwezi ili apunguze maumivu[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Tatepa witnessjMi ndo maana namuhongaga mume wangu milioni kila mwezi ili apunguze maumivu[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Dah kuna kauli zinakuja na maumivu mazitoUnakaa kimya ili kuepusha sintofahamu hii kutokea hadharani simultaneously:
Mama: wui-wui-wui- wui....
Baba: Woi-woi-woi-woi....
Sasa nani amsaidie/amliwaze mwenzake? Huoni itakuwa ni kituko?
Hata inapotokea msiba ; Mwanaume unakalishwa chini na neno la kwanza unaambiwa "Jua/Tambua kwamba wewe ni mwanaume". Halafu ".........Baba yako au Mama yako umpendaye sana hayupo nasi tena". halafu wanakuangalia usoni kuisoma reaction yako baada ya sentensi hiyo.
Sio kidogo. We acha tu.Dah kuna kauli zinakuja na maumivu mazito
""Wewe ni mwanaume,familia ipo mikononi mwako...,nasikitika kukwambia mama yako amefariki" halafu wazee wanakuangalia usoni huku wamekukazia sura na mimi niko na 17years tu .sikulia hata kidogo ila nilipoamka usiku kama sa8 hivi nililia sana yani hadi sauti ikakauka.halafu asubui nikakaza
Kila mtu akilia analitaja na jina lako aaah dah uanaume kazi
🤣🤣🤣Halafu wakitoka nje wanaume wote wanafuta machozi fasta na kupotezea huku wakiwaachia wanawake wengine kumalizia-malizia kwa gharama zao.Na Yesu akalia Machozi: John 11:35
Mstari mfupi katika biblia!
Kuna Umuhimu wa kuanzisha Mahali salama penye Vyumba vya ndani visivyotoa sauti ambavyo wanaume ( na wanawake wengine) watakua wanalipia Kwenda Kupata Huduma ya Kulia jinsi wanavyoweza!
Sana yanKwanza mwanaume kulia mbele za watu/mtu ni fedheha
This is so touchingAs a hustler with no secured financial source am scared of failing my family. I will be shown bills and kids' school fees and I will just say "I'll work on it"
The burden gets heavier everyday.
But I have never cried. But getting scared? That happens all the damn time, like "What if there will be no food tomorrow?" "What if rent comes right now?"
Crying is an option but I've never used it yet.
Nimevuta picha io miguu inarushwa rushwa ukiwa umekaa kitandani au chini kabisa ukiwa umeinyoosha [emoji12][emoji12][emoji12]Huamini eeh
Atakayekuowa wewe kala hasara na stroke itamuhusu.Weeee! watoto wanililie!! ....... na zee zima!! lenye mindevu kila mahala nalo lini lilie!!! mweee! ntakupiga mitama ukalilie huko mbele vizuri!!....tafuta pesa nile na watoto Nyambaf!!! nacho fanya mie nikukuombea tuuu!!
km huwezi kwanini uliwowaa?? au laa acha niache nisepe zangu uone km ntakufa !!...mnajifanya kuwowa kuumbe hamana kitu!! kaa ivovivo!!
Duh! Unaliaa?? Mmmh asee hapana izo hard time zipo ila bora ukapige Monde asee.. then mkeo nae alie?Tabia yetu wanaume ya kuficha maumivu kwenye mahusiano kama unaficha begi lenye nyara za taifa (meno ya tembo) ndio inafanya tunakufa mapema.
Mimi my wangu akiniumiza nalia kabisa kwa kurusha rusha miguu. Ile kimasta[emoji854]
Tena kabisaaa na aende tu! asije mie nataka chuma cha pua mkurya hasaa!! ngumi jiwe!! hakuname kulia lia hapa!......akizidi kulia namchapa makonde tena si ya kitoto!!.....Dume zima unalia??? sasa nani abembeleze mwenzie hivi nyie wazaramo mna nini???Atakayekuowa wewe kala hasara na stroke itamuhusu.