Tabia yetu wanaume ya kuficha maumivu kwenye mahusiano kama unaficha begi lenye nyara za taifa (meno ya tembo) ndio inafanya tunakufa mapema.
Mimi my wangu akiniumiza nalia kabisa kwa kurusha rusha miguu. Ile kimasta🙃
Unakaa kimya ili kuepusha sintofahamu hii kutokea hadharani simultaneously:Kwa nini ukae kimya mkuu
Weweeee! Wacha bhana. Si itakuwa ndo Habari huko saloon? 🤪🤪Bora tu muwe mnalia kwa sauti msiwe mnaogopa.
Dah, naipenda sana hii clip. Ninayo kwenye simu yangu....
Nyumba kubwa hujengwa na nyumba ndogoIli nilie mbele ya mke wng lbd niwe nimefiwa la sivyo mzee wng ntayabeba hayo maumivu nashukuru mungu kamchepuko mara nyingi kana nipoza maumivu ya home
Wakali wa matangazo kama haya ni wathailand wana matangazo mengi sana uwa yananiburudishaNyumba kubwa hujengwa na nyumba ndogo
Yes ni kweliWakali wa matangazo kama haya ni wathailand wana matangazo mengi sana uwa yananiburudisha
Kwanza mwanaume kulia mbele za watu/mtu ni fedhehaIli nilie mbele ya mke wng lbd niwe nimefiwa la sivyo mzee wng ntayabeba hayo maumivu nashukuru mungu kamchepuko mara nyingi kana nipoza maumivu ya home
nibonyeze nyota ngapi ngapi ili kupata hiki kibwagizo?Mi ndo maana namuhongaga mume wangu milioni kila mwezi ili apunguze maumivu[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mean?nibonyeze nyota ngapi ngapi ili kupata hiki kibwagizo?
Hata sielewi
Hahahahahahahahaha.Weweeee! Wacha bhana. Si itakuwa ndo Habari huko saloon? 🤪🤪