Wanawake muelewe hili, wanaume wana maumivu pia, tena yenye huzuni karibu ya kifo

Nimevuta picha io miguu inarushwa rushwa ukiwa umekaa kitandani au chini kabisa ukiwa umeinyoosha [emoji12][emoji12][emoji12]
Muongezee huyooo akalie vizuri....kidume kinalilia kazi shambani huko!!.....kucha kutwa apatehela aniletee mrembo nile...kwani mbusus nyeupe mchezo??? .......... hawezi!! aseme asaidiwe na wenzake!.. ila asijinyonge tu!
 
hao wengine wanakuja kukuchuna hela
Hao ndo wazuri sasa wakuchuneee! akili ni utafute zaidi walee mpaka wavembewe,,...mtu anaekupa hela mpige makofi aende huko na hela zake!!! kwanza siku ukifanikiwa ndo wa kwanza kuja kuzengea nilikusaidiaga weye!
 
Mwanaume ni kama mtoto anahitaji kudekezwa kama anadekezeka.Tujifunze kuwauliza wanataka nn."Nipo njian nakuja mpenz kukuletea tamu,je nikuletee nini kingine?" Mume wangu nikupikie nn muda huu,siyo umepika msosi wowote afu akiuliza wamjibu "shukuru nimepika!" .N:B mwanamke usithubutu kumnyenyekea mwanaume asiyetambua thaman yako.
 
Ila jmn kweli wanaume wanapata stress sana sema wanajikaza tu.

Ubaya zaidi wakisema hawasikikiiii kabisaaaaa.
 
Hivi wewe ni wakike au wa kiume sikuelewi asee
 
Hizi zote ni stress zinakusumbuwa, unatype huku machozi yanakulilika upate tu hata bodaboda wako akuweke ndani.😄😄
 
Hivi wewe ni wakike au wa kiume sikuelewi asee
Usijitetee km huna shule Bana!! jibu hoja!! weka hela mbele nile...... unitongoze wewe!!.... ulie wewe!! ule mbusus bure halafu nikubembeleze wewe km zuzu!! eti usilie Baby!! mweee! ....mbona mna vituko nyie wa mjini? !! hukujipanga kwani?? ....

OK! mie Dume unasemaje!!.....

yaani kwa sababu hiyo ndo unile mbusus buree?? .....aseee! utakoma heee!!.. Mungu alisema mtakula kwa jasho alimaanisha alikuwa hatanii!! wachezeeni hao hao!! ukinililia nakuongeza za mbavu ukalie vizuri........ tena ukiwa kadogodogo ndo utakoma!!....

..na huniachi! ng'ooo!! ila hakuna rangi ambayo hutaacha kuiona ili ujifunze, make ulikurupuka kuwowa, msikimbilie kutongoza na kuzalisha ke hovyo! km hujajipanga!! kajipange upyaa waachie waliojiandaa wale mbususu vizuri!!

Zamani za kale kabla ya Mkoloni wanaume wa Boma!! wakishindwa vita!! wakauawa, na baadhi kuchuliwa Mateka, ke wao wooote wanaolewa hadharani na wana zaa watoto huko upyaaaa!

nyie mlio shindwa kupigana vitani mnachukuliwa utumwani Mkalime mashamba ya machifu ugenini tena bure Bure au laa mkikomaa mnauawa mbayaa mkiwa wapole mnauzwa km bidhaa

so km ingekuwa zamani wewe ungeuzwaa!!! kwa kuwa umeshindwa pambano la hiari tena la kujituma tu kwa uhuru,hata km huwezi basi acha kuwowa au km huwezi jiue tu yaishe, sasa sikia km hukusoma Historia ya drsa la tatu huko mambo yalikuwa ni ivi......

Mkwawa, alipo shindwa vitani kabisaaaa!! akaona ujinga huu!! akajiua mwenyewe, kuliko kwenda kuwa Mtumwa! na wake zake wooote wale wachukuliwe mbele yake...jua Maisha ni bhita mura!..... ...asa siku hizi ni tofauti! lkn ni kwa mpango huo huo!
 
Hizi zote ni stress zinakusumbuwa, unatype huku machozi yanakulilika upate tu hata bodaboda wako akuweke ndani.😄😄
Wajameni mnisaidie huyu!! umesema vizuri sana ndo kabila letu tulivyo hivi kwani hujui kuwa wasiwasi ndo akili??? au hukusoma? Machozi yakinitoka ina maana na uchungu na Maisha wewe!! ......kutoboa ni lazima hata kiwanda cha kuchakata chips kavu nishindwe??

Sasa weye huna stress na umekaa kwa mjomba miaka nenda rudi Msosi laka mbili daily, km huna stress hata shule huna, hapo mjomba ana kachumba kamoja yeye na mke wake na wewe hapo hapo huna stress,, wazaramo mna kazi sana ........ nani zaidi???

Nenda Kajifunze Uchagani huko,Uhayani, Ukuryani, unykyusani, Umakondeni nk ni utakaa chini.... yaani nakwambia hawa watu bana wameacha mahekalu huko full maji! si kawaida,.... Misosi karibu na bure lkn wakija Town analalia Ma-Box, wanauza naniliu.....

Siku moja katembelee tu Marangu, Machame huko wkt wa chrismass ndo utajua kuwa hujui.......siyo hao unaoona wanalalia mabox Mjini..... Narudia tena sijakosea ''wasiwasi ndo akili''!
 
hata bodaboda wako akuweke ndani.😄😄
Yaani unawadharau ??? Yaani mkwere sijui ana nini...mtu anatengeneza hela amekaa eti unasema ''hata bodaboda??? hivi hujui wale wana raza hela Mingi kwa siku kuliko Mfanyakazi wa Ikulu?? siyo nikimpata tu, ningekuwa na nafasi nanunua boda bodaa saaafi!

Yani hizi ni akili daa shule hiyo ulisome nini??!! naongea na kilaza?...hivi ukipanda Sanlg ...unajisikiaje mneso wake?? na kaupepo mwanana kanapita ivi huko chini!! Daaa!! wewe kweli hamna kitu...Mashine inaunguruma mweee! Bodaboda hoyeeeee!!! wapeleke wapeleke!!
 
Muongezee huyooo akalie vizuri....kidume kinalilia kazi shambani huko!!.....kucha kutwa apatehela aniletee mrembo nile...kwani mbusus nyeupe mchezo??? .......... hawezi!! aseme asaidiwe na wenzake!.. ila asijinyonge tu!

Aiseh
 
Tabia yetu wanaume ya kuficha maumivu kwenye mahusiano kama unaficha begi lenye nyara za taifa (meno ya tembo) ndio inafanya tunakufa mapema.
Mimi my wangu akiniumiza nalia kabisa kwa kurusha rusha miguu. Ile kimasta🙃
Dah!..
 
Tabia yetu wanaume ya kuficha maumivu kwenye mahusiano kama unaficha begi lenye nyara za taifa (meno ya tembo) ndio inafanya tunakufa mapema.
Mimi my wangu akiniumiza nalia kabisa kwa kurusha rusha miguu. Ile kimasta🙃
Nmetaman nkuone ukiwa unalia, na miguu unarusha hahahahah!

Me kulia huwa nalia peke yangu kivyangu na s mbele za watu, yaan huwa nalia mwnyewe chumbani mpka kilio kinaisha...

N baadh ya watu huchukulia kuwa mwanaume n kuwa tofauti na bnadam mwngne, lkn n uhalisia nao pia hupitia tunayoyapitia. Sema n wagumu kuonesha maumiv yao hadharani....
 
Tabia yetu wanaume ya kuficha maumivu kwenye mahusiano kama unaficha begi lenye nyara za taifa (meno ya tembo) ndio inafanya tunakufa mapema.
Mimi my wangu akiniumiza nalia kabisa kwa kurusha rusha miguu. Ile kimasta[emoji854]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji57]
 
Wanaume tuna maumivu kweli ila kulialia sio mchongo.

Mwanaume wa kiafrika lazima uuvae ubandidu. Sisemi wasizungumze na wenza/familia zao mambo yanayo wasibu la hasha ila usijilegeze sana, hata ukilia kama mtoto maisha ni magumu and it's gets even tougher kila siku.

Hizi kampeni za siku hizi za kutaka wanaume wajilize na kutema nyongo zao kama wanawake on regular is feminization of a black man na mimi nasimama nayo kinyume.

Carleen eti laazizi nianze kulia lia?
 
Noted
 
Hahaha... Ungekua my wangu ungeona. Hasa nikikupenda sana
 
Poleni wakaka wote kumbe mnapitia maumivu kiasi cha kulia ila mnajikaza, sometimes lieni tu inasaidia kuondoa uchungu, ila siku ambayo ntamuona mpenzi wangu analia nahisi ntachanganyikiwa kwa hofu, hatujazoea.

Ila sisi tena mimi ndiyo jinga kabisa nna mchozi debe, kakitu kidogo nalia hadi nasali kiingereza😂😂 last time kulia ni leo asubuhi aisee, hata babe wangu aliniacha kwa sababu ya kulia jamani 😪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…